Mbona kama ni Mnyarwanda?
Kimaryo atakuwa likizo.........kuwa mpambe wa JK siyo kazi rahisi........
Cheo cha begani na kofia kama haviendani. Wameshabadilisha mfumo?Kimaryo atakuwa likizo.........kuwa mpambe wa JK siyo kazi rahisi........
Nyumbani.wa wapi huyo
Baada ya kupandishwa cheo aliyekuwa mpambe wa Kikwete, Brigedia Kimario amebadilishwa mara baada ya sherehe za Muungano na nafasi yake imechukuliwa
na huyo!View attachment 154574
imekuwaje kabadilishwa
Hii thread haijajitosheleza kwa mtu ambaye hakuwa na taarifa za ziada
Mbona kama ni Mnyarwanda?
Huyu wa sasa ana cheo gani? Naona begani na kofia vimenichanganya.Mpambe wa rais ambaye ni mwanajeshi hatakiwa kuwa na cheo zaidi ya Kanali, Kimario hivi sasa namepandishwa cheo ni Brigedia. Understand?
ugumu wake upo wapi!??