Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Maisha ni changamoto sana
Sahihi, kuna wakati unapigika kisawasawa. Inafika kipindi huoni pa kushika ni kama mbele kuna ukuta. Ila unajikuta umetoboa kibishi mpaka unashanga imewezekanaje

Na hapo sio mwisho wa hardship mamaé picha linaendelea hivyo hivyo, kupumzika kaburini kmmmk
 
Yafurahie tu maisha kadri uwezavyo. Yatafutie angle ya kuenjoy.

Miaka 1000 ijayo sidhani kama kutakuwa na tofauti kati ya aliyekuwa nacho sasa na asiyekuwa nacho sasa.
Hakika, ndo maana ambao hawajali she's ujinga wa elimu uchwara wanatamba tu

Knowledge might be a curse too
 
Hahahahaha 🤣
 
Hakika, ndo maana ambao hawajali she's ujinga wa elimu uchwara wanatamba tu

Knowledge might be a curse too
Knowledge sahihi ni ile inayosababisha utumie siku zako za kuishi ukiwa na amani na furaha siyo mifumo ya kufungwa akili iliyowekwa na wenye akili ili wafurahie maisha kupitia rasilimali unazozikosa kwa kufungwa akili.
 
Aisee, kwanini usitumie muda uliobaki maana kila mtu atakuwa tu kiongozi. Let's live a life to be remembered. Maana nid life crisis ndo inakuja kutuamsha ya kuwa we only have less time in here
Midlife crisis inatukumbusha kuwa maisha hayasubiri mtu. Tatizo ukiwa kwenye 20's unaona una muda wa kutosha. Mara paaap 30s hiyo

Miaka inakimbia, wazazi wanazeeka, marafiki wa karibu wanapotea kila mtu na hustle zake kuna wakati ni kama uko peke yako unapambana

Na ndoto zinaendelea kusogezwa mbele
 
Ujamaa umetulemaza.
 
Unafikiri 30s kwenda 40 ni mbali ndugu?..nilimpata first born nikiwa mid 30s,sasa hivi yuko form one,yaani ni vuup, huwezi amini,nipo mid 40s,naona maisha yashaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…