Hatimaye 'mid-life crisis' imenifikia

Chiwawa wewe ni kichaa haupo sawa upstairs hilo wala halina ubishi,
Hakuna atakaye changia vitu vya maana kwenye vinyuzi vyako ambavyo unabishana na kumpinga kila mchangiaji,
nenda Milembe kwanza ukatibiwe,JF ipo tu utaikuta tu.
Naona bipolar nimefika critical stage...

Nilisha kwambia hold your freaking ass,

Acha kudhani unanifahamu,

Baki kwenye hoja
 
5/100 ndiyo wanamiliki nyumba zao,wengi wana mabilion UTT-AMIS wamehifadhi humo!,kiasi rent is just a peanut money to pay!...(Wanaamini money 💰 is everything wanaweza kulipa rent kwa muda mpaka karne moja bila hofu kabla hawajaenda nunua nyumba CANADA)
 
Maisha yanaweza kuwa chochote, ingawa huwezi kupata kila kitu.
 
Naona bipolar nimefika critical stage...

Nilisha kwambia hold your freaking ass,

Acha kudhani unanifahamu,

Baki kwenye hoja
Chiwawa kwa akili hiyo,huko mbeleni kuna gizo totoro linakusubiri,
Utashindia mpaka mkate na maji ya moto,
Kujiliza kwako humu hakuwezi kukusaidia kitu,watu wanakuenjoy tu kama Pilipili kwenye msosi.
 
Dah Mungu ni mwema sana sitoacha kumshukru each and every day, sijafika 35 bado ila angalau nina vibanda viwili, kimoja naishi mwenyewe nipo na wife na madogo wawili kimoja nakula kodi mdogo mdogo si haba ukizingatia elimu yenyewe darasa la saba, nawaombea wote ndugu zangu ambao bado tusonge mbele kukata tamaa ni mwiko
 
Uko sahihi sana chief,
 
Chiwawa kwa akili hiyo,huko mbeleni kuna gizo totoro linakusubiri,
Utashindia mpaka mkate na maji ya moto,
Kujiliza kwako humu hakuwezi kukusaidia kitu,watu wanakuenjoy tu kama Pilipili kwenye msosi.
Tuliza bipolar, Ishi maisha yako.

Alaf baki kwenye hoja, hauninjui sikujui.

I'm over that shit
 
Ndio tunapambana na kama kuna makosa tuliyaona tunajitahidi tusiyarudie. Mungu atusaidie
Amen, leo umeongea kitu chema sana
Wajinga sana wamatumbi, anahisi kila msemo uko viable.
 
Tuliza bipolar, Ishi maisha yako.

Alaf baki kwenye hoja, hauninjui sikujui.

I'm over that shit
Chiwawa utajiliza sana humu JF,utaomba sana elfu 20 ila at the end utajikuta upo peke yako tu na kuwapa kazi watu wengine kuja kukulea uzeeni mwako,

Au hizi nyuzi unazo anzisha kila dakika ndio akiba yako ya uzeeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…