Eliamini
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 616
- 738
unabwabwaja kwa sababu una afya njema ila Mola aliyeumba mbingu na ardhi akakupa mtihani wa maradhi utakesha kumlilia kila siku, usikufuru kwa haya maisha ya kupita tena mafupi sanaAcha ujinga
unabwabwaja kwa sababu una afya njema ila Mola aliyeumba mbingu na ardhi akakupa mtihani wa maradhi utakesha kumlilia kila siku, usikufuru kwa haya maisha ya kupita tena mafupi sanaAcha ujinga
Mimi tena????unabwabwaja kwa sababu una afya njema ila Mola aliyeumba mbingu na ardhi akakupa mtihani wa maradhi utakesha kumlilia kila siku, usikufuru kwa haya maisha ya kupita tena mafupi sana
oooh kumradhi mkuuMimi tena????
naipata iyo movie samwel jackson(yule black mwenye kithethe anapoongea) anavyokuja kuvuruga ubongo wa binadamu wengine kias kwamba wanafikia kupigana mpk kuuwana bila kujitambua kwa msaada wa zile chip ambazo alidai zinaoffer free calling & internet. unajua watu wengi wanaangalia movies kwa kujiburudisha bila kutambua dhamira ya kishetani iliyojificha nyuma ya movies industry especialy HollywoodUkitizama move inayoitwa "kingsman the secret service" ndio Uta Pata picha vizuri.
Tuko pamoja.naipata iyo movie samwel jackson(yule black mwenye kithethe anapoongea) anavyokuja kuvuruga ubongo wa binadamu wengine kias kwamba wanafikia kupigana mpk kuuwana bila kujitambua kwa msaada wa zile chip ambazo alidai zinaoffer free calling & internet. unajua watu wengi wanaangalia movies kwa kujiburudisha bila kutambua dhamira ya kishetani iliyojificha nyuma ya movies industry especialy Hollywood
KIVIPI?666
Kitabu cha ufunuo kimeandika kila kitu hakutakwepo na kuuza wala kununua bila microchip
Vipi korn haija andika haya mambo?666
Kitabu cha ufunuo kimeandika kila kitu hakutakwepo na kuuza wala kununua bila microchip
Sio swala LA dhehebu ni swala lakujifunza biblia vzr na sio kukurupukaHakuna kitabu cha biblia chenye neno microchip. Walokole na nyie mna mambo yenu, yaani kila muumini anajiona bingwa wa kutafsiri biblia
Umekurupuka labda ungejiuliza kwnn kwa hilo amefikiria 666,usiseme kitu km hujui tena kwa shutuma hutajua kamweBaadhi ya binadamu hasa waafrika na labda watanzania tumekataa kufikiri kwa mapana kabisa kuhusu uwepo wetu hapa duniani na lengo kuu la Mungu kutushirikisha uwezo wa uumbaji ilikuwa nini?Kwa nini mnakaa mnaongopa habari za namba 666? Hiyo micro chip ni nini hasa mpaka muone ni issue? Kuna vitu vingapi vimeamuliwa vifanyike kote duniani na mbona hajasema ni namba 666? Smartphone na Computers na vitu kibao vya Electronics vina Chip kama hizo mbona hamsemi ni namba 666?
We sio mzimaNyakati za mwisho maana yake nni ?,haya ndo mawazo mgando tunayosema kila siku humu?,wewe unaamini masimulizi ya maisha ya wayahudi uliyoletewa?.Em nambie unauelewa wowote kuhusu ATM cards?,je una ATM CARD?.Unajua maana yake?,kwa nn inatumika ?,je walileta waroma?,au papa?.Hivi tunaposema kufikia 2050 kila mwanadam atakuwa na chip mwilini we huelewi?,je utabaki mwenyewe usiyetaka?.Hivi huyo mungu alishawahi kukusaidia?,
Ndugu yangu acha kuwa zuzu kushabikia mambo usiyoyajua undani wakeNiwapi huko ikifika hapa mnishtue kwenye hii number waniwekee tu maana itakapo fika kulazimishana +92790665455
mkuu usimbeze huo ndio ukweli biblia hasa ufunuo ni maneno ya kinabii ambayo lazima yatafisiriwe ili kuleta maana iliyokusudiwa. ukisomaHakuna kitabu cha biblia chenye neno microchip. Walokole na nyie mna mambo yenu, yaani kila muumini anajiona bingwa wa kutafsiri biblia
mkuu funguka zaidi tuambie chip. za computer zimefungwa wapi kwenye miili ya wanadamu?Baadhi ya binadamu hasa waafrika na labda watanzania tumekataa kufikiri kwa mapana kabisa kuhusu uwepo wetu hapa duniani na lengo kuu la Mungu kutushirikisha uwezo wa uumbaji ilikuwa nini?Kwa nini mnakaa mnaongopa habari za namba 666? Hiyo micro chip ni nini hasa mpaka muone ni issue? Kuna vitu vingapi vimeamuliwa vifanyike kote duniani na mbona hajasema ni namba 666? Smartphone na Computers na vitu kibao vya Electronics vina Chip kama hizo mbona hamsemi ni namba 666?
mkuu hata ikitokea dunia yote kwenda kushoto,Nyakati za mwisho maana yake nni ?,haya ndo mawazo mgando tunayosema kila siku humu?,wewe unaamini masimulizi ya maisha ya wayahudi uliyoletewa?.Em nambie unauelewa wowote kuhusu ATM cards?,je una ATM CARD?.Unajua maana yake?,kwa nn inatumika ?,je walileta waroma?,au papa?.Hivi tunaposema kufikia 2050 kila mwanadam atakuwa na chip mwilini we huelewi?,je utabaki mwenyewe usiyetaka?.Hivi huyo mungu alishawahi kukusaidia?,
kakurupuka huyu hajui kwamba dunia inatembea kwenye kalenda ya Mungu,Umekurupuka labda ungejiuliza kwnn kwa hilo amefikiria 666,usiseme kitu km hujui tena kwa shutuma hutajua kamwe