nani asingekaa?? msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! you have to think twice!
muda umepotea bure na situation kama hizi two things may happen, credibility ya chama kupanda au kushuka vibaya mno!
guess what??
Kwa kuchapana!Wametekeleza amri ya cdm mara nini?maana mara na arusha huwa wanafanya kweli.Lakini tabia hii ya ccm kukandamiza wananchi tutaimalizaje?
CCM ina taabu nyingi sana sasa hivi. Sidhani kama wanahangaika na kuruka dhamana kwa Mbowe. Mwambieni Mbowe na viongozi wetu wengine wa CHADEMA wajitofautishe kidogo na Mchungaji Mtikila. Tunawahitaji mno kwenye agenda za kitaifa kama Katiba mpya, Gharama kubwa za maisha kwa WATANZANIA, Ufisadi ambao walikuwa wameusimamia vizuri,.....Mahakama inayofanya kazi kwa maagizo ya dola ya ccm! Kwa kesi isiyo na mashiko! What are you trying to tell us?