Kwa nchi inayoishi ki-umatonya, kweli was it worth it kuiingia gharama zote hizo? ulinzi, usafiri wa ndege mpaka Arusha. And dont tell me serikali 'inasimamia' sheria maana for the last 6 years Kikwete amekuwa anafanya mazungumzo na wezi wa EPA! Huo ndio uvunjwaji wa sheria maana wezi wanatakiwa wawe keko.
Kama imekuuma mbowe kuachiwa saga chupa unywe! Kafie mbele na magamba yenu, waoga wakubwa nyie, mmeshndwa kuwakamata mapacha wa3 mnakamata wasio na makosa! Mbowe alkuwa na silaha gan mpaka abebwe na helkopta ya jeshi, ulinzi wote ulkuwa na haja gani?? Mnafanya mambo ya kitoto afu hamjiamini. Aibu!!
huyu hakima ni msukuma anaitwa magesa, yeye hata cj chande anaweza amrisha akamatwe
Ila debe kanyea.Sidhani kama siku nyingine atadharau mahakama. Ajue mahakama siyo chama cha siasa,ni muhimili wa dola. kwa mwandishi mwenye picha zake wakati amekamatwa nahisi alikuwa kama Kiza beseje alivokuwa siku ile M7 amfanyie kitu mbaya
Tuache ushabiki na umbumbumbu wa sheria za Nchi yenu Tanzania.
Nafikiri sasa mbowe na Chadema wamepata somo kuwa MSIDHARAU SHERI ZA NCHI na vile vile MSIDHARAU AMRI ZA MAHAKAMA.
Nimependa msimamo wa dr.SLAA, Mbowe asipoachiwa hamtatuona bungeni jumanne. Sasa govt.ikafikiria bila kuwa na hoja ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni,kanuni hazitatimia. Pia wakaogopa na maandamano ya kumtoa nyoka pangoni. Hapo wakasarenda. Iyo ndo nguvu ya umma bwn!
Ukiisha ikubali serikali na rais basi huna budi kuheshimu dola!!! LOL!
Mwenyekiti wa chadema ameshaachiwa na sasa watu wamembeba juu juua ..arusha
Wananiudhi viongozi wetu "wapendwa" wanapovunja sheria wanazozifahamu vizuri kuliko sisi halafu wanasubiri huruma ya watu. Muda umepotea. Kodi zetu zimetumika vibaya. Tumeacha kufanya mambo ya maana. Wala hakuna tija katika hili.
Nimependa msimamo wa dr.SLAA, Mbowe asipoachiwa hamtatuona bungeni jumanne. Sasa govt.ikafikiria bila kuwa na hoja ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni,kanuni hazitatimia. Pia wakaogopa na maandamano ya kumtoa nyoka pangoni. Hapo wakasarenda. Iyo ndo nguvu ya umma bwn!
nani asingekaa?? msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! you have to think twice!
muda umepotea bure na situation kama hizi two things may happen, credibility ya chama kupanda au kushuka vibaya mno!
guess what??
..angeambiwa ajisalimishe mwenyewe kabla ya saa za mahakama, ilikuwa ni kuwahi Meridian au Dar Express ya kwanza kwa shs. 30,000/- tu tena ya kwake na serikari ingeokoa mamilioni.Mkuu hapa kuna ukweli. Yaaani serikali inatumia gharama kubwa za kumlinda Mbowe na kumsafirisha kwa gharama kwenda Arusha tena chini ya ulinzi mkali ili hakimu akamuone usoni na kumruhusu kuendelea na dhamana yake? Mimi nilidhani kuna kitu kikuubwa kumbe ni hivyo, is there any value for money? Au ndio haki kutendeka na ionekane imetendeka? Haikuwa na mantiki yoyote kutumia kodi zetu kwa kumpeleka Arusha ili akaonane tu na hakimu
Amedhalilishwa au wamejidhalilisha waliomkamata??? Hv kwenda jela ni kudhalilika??? Wangeendelea kumshikilia waone.Sasa ambae inaniuma ni mimi au wewe ? ww huoni maneno yako unayo yatoa yaonyesha kabisa kiongozi wako amedhalilishwa, hulioni hilo ?:majani7::majani7: