Hatimaye Mbowe apewa dhamana

Hakimu Magesa yuko sahihi alimutaka mbowe aende mahakamani na ameenda japokuwa mbowe alitaka apelekwe kama gaidi na hilo limetokea
 

Hatuwezi kukataa ukweli " taabu nyingi" wamezipata baada ya siri zao kutobolewa hadharani na CHADEMA so obviously lazima wawawinde CHADEMA. Hizo taabu nyingi zime-pile up for years no body in CCM said anything. Bila CDM na baadhi ya viongozi wengine wa upinzani mwananchi wa kawaida angefahamu vipi?
 
Malaria Sugu, tafadhali jaribu kukumbuka kuwa huku ulijiunga ukiaminiwa kuwa wewe ni mmoja wa great thinkers, who may not talk issues with no sources and tangible examples....! Kama unavyosema mkoa wa Arusha, je wajua kweli wilaya za Arusha zilizosheheni wamasai na vyama vinavyotawala? Ukienda mkoa wa Manyara, katika wilaya mbili kubwa ni pamoja na Simanjiro na Kiteto.....! Je, wajua hali yao kielimu ikoje? Wajua vyama vilivyokuwa vikiongoza majimbo hayo hadi sasa? Arusha ni pamoja na Ngorongoro, Monduli, Longido na Arumeru Magharibi....! Ningeomba uniambie walau wilaya moja kati ya hizo zenye mbunge kutoka vyama vya upinzani, au hata wilaya ambayo imewahi kuongozwa na vyama vya upinzani kati ya hizo....! Niambie walau mbunge mmoja kati ya hao, mwenye kuiva vema na wasomi wazawa wa jimbo lake....! Tafadhali, acha kubuni mambo usiyoyajua ndugu....! Usizungumze jinsi unavyojiskia..., bali uzungumze vilivyopo...! Nakubali kuwa Wamasai ni moja ya makabila zilizokosa elimu Tanzania, na dunia kwa ujumla, lakini je, ni wao tu? Na je, jamii zilizokosa elimu, ni kwa ajili ya CHADEMA? Kama hujawapa CHADEMA dola, maamuzi ya kukusanya na kugawanya kodi kwa niaba ya wananchi, wao wangewaelimisha vipi waliokosa elimu? Usitafute namna ya kuleta lawama za CCM kwa kushindwa kuwahudumia wananchi, na kufanya kama ni CHADEMA? Miaka 50 waliongoza CCM, haikutosha kuwaelimisha Wamasai? Pengine ukitaka maelezo zaidi naweze kukupa facts.....!
 
Wewe MS yani umetutukana sisi wamasai hatuja soma? Ushindwe na ulegee kwa jina la cmd!
 
Nguvu ya dola hyhy ndo inaelekea kushindwa libya tukiamua hamtuwez nyie ma nguvu ya shiling.
 
Aibu ya Magamba!
Kamanda Mbowe pamoja sana na kesho kutwa mjengoni kama kawa!
Lakini kachunguze afya yako maana hawa Magamba ni mafia sana

Good idea, sema angesubiri angalau miezi mitatu maana akipima sasa anaweza kutest negative hata kama ameambukizwa mdudu...
 
Mh: Mtanzania Mwenzangu acha kufikilia mawazo mgando, maisha anayoishi mtanzania wa CCM ndiyo anayoishi CHADEMA. So akili yako isifikiri tu kuwa MBOWE NA DK SLAA wanaleta fujo.

Ndugu zangu kusoma hatujui hata KIBAO NA MSHALE hatuoni? Jingine mimi naamini hata wewe unayetukana ipo siku yatatimia tu kwako, bado nakubaliana na Sir: Shaban Robert na Falsafa yake isemayo WAKATI NI HAKIMU WA KWELI.
 

Rais wa Yemen yuko mahututi baada ya kulambwa na kombora. nadhani hali tete kama iliyoko nchini Yemen, Misri, Tunisia, Libya n.k ndiyo inahitajika kwa sasa Tanzania. Mabavu ya polisi hayana lolote kwenye nguvu ya umma. Nakumbuka moja ya sababu zilizo lifanya Jeshi la Napoleon huko Rusia kushindwa vita mwaka 1813 ilikuwa ni NGUVU ya UMMA. kama haki haitekelezwi kwa maneno, lazima kudaiwa kwa namna yeyote ile.
 
Aina hii ya mahakimu hawatufai kabisa. Mahakimu wasiweza kuhukumu kesi za wizi wa mamilioni lakini wapo tayari kufunga wezi wa kuku. Wafie mbali kabisa.
 
Aina hii ya mahakimu hawatufai kabisa. Mahakimu wasiweza kuhukumu kesi za wizi wa mamilioni lakini wapo tayari kufunga wezi wa kuku. Wafie mbali kabisa.

Mchumba mzima wewe ?
 
Kumbe TLS nao hawajambo kwa usanii! kama tamko lao liko kilaini hivyo, wauza nyanya watasemaje katika tamko lao?
 
Mbowe ananguvu ya uma,ccm nimalimbukeni,ANGUKO LAO LIMETIMIA
 
Ametusababishia walipa kodi hasara kubwa apelekewe Invoice ya gharama,
Hivi unadhani hayo yaliyofanywa na MAGESA ni yake pekee........... Ana msululu wa watu wanaompa amri....... watu hao wanajuwa kucheza karata. Walishaona kuwa kumuweka ndani Mbowe ni sawa na kukaribisha maandamamno ya nchi nzima. Hili lingewaharibia CV kuliko kuingia gharama waliyoingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…