Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Uwezo wa hawa waheshimiwa wa kufikiri ni finyu saana, kwa nchi masikini yetu kama hii Tanzania utumie gharama zote hizo kubebana na mtu ambaye si jambazi sugu labda anaweza kutoroka. Kweli inaingia hakirini kweli hiyo??????????? Magari kwenda Air Port Ukonga, ndege Dar to KIA or Ars Aport, magari mahakamani yote hiyo ni gharama kwa mwananchi wa Tanzania!!!!!!!!! Hivi Watanzania wamekosa nini kwa Mungu wapewe adhabu za aina hii. Si busara zitumike ingawa kiasi jamani????????Sidhani kama katika jeshi la polisi la ccm kuna mtu wa kuyafikiria hayo wala katika mahakama hakuna mtu wa maana wa kutoa constructive ideas kama hzo. Tunashukuru kwa wanataasisi kma hawa kwa michango yao ya kimawazo ya kuwaamsha ipo siku watakumbuka shuka wakati kumekucha.