Lakin mitambo hiyohiyo wasanii wameimba na kuongea vizuri, ugonjwa sio aibu, ni suala tu la kutaarifu kuwa mgombea hajisikii vizuri.
When a sick person is controlling your intellect,Yani ina sound so Insane....!
Mkuu Root kabla Lowasa hajawasili uwanjani vyombo vilikuwa vinafanya kazi baada ya Lowasa kuwasili ndo mic zikaanza kusumbua hata walipojaribu kutafuta mitambo tatizo bado likajirudia lakini kesho watafanya mkutano kuanzia saa tatu hizo ni kasoro za kawaida.
Lowasa anapendwa sana na wananchi
Kwahiyo unataka tukusaidieje?
Cha kukusaidia, nenda kesho saa tatu!
Spenser karika ubora wake chekin itv sasa hivi
Tunduma nasikia ilikuwa aibu balaa...Mbowe alimshikilia mwari wake mkono huku akijaribu kuwatuliza wana Tunduma ambao wanekasirishwa na kuwaletea mgombea mchovu...
Yaani naambiwa ni gumzo mji mzima wa Tunduma...wamejione ukiwa ilivyomagumashi...
Kesho tutaambiwa mkutano hakuna wameenda ludewa kuzikaWe tumeangalia taarifa na lowasa alikuepo jukwaan maik zikawa mbovu.kesho saa tatu njoo uone shughuli upyaaa
Mi sijaelewa hata unazungumzia nini naona umeandikia mwenyewe na kujijadili mwenyewe!
Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
Sasa tujadili nini?? Kwani chombo kinapotaka kuharibika huwa kinasema?
nimeona na kusikia channel 10 vyombo vimebuma kesho saa tatu ataongea , ni kweli kwa umri na afya yake na kwa ukubwa wa mkutano hangeweza kuhutubia bila vyombo. Huu uzi uunganishwe kwenye uzi wa mkutano tusijaze seva
Sasa unataka kusema nini?
Unajua ni gharama kiasi gani wameingia kupoteza mkutano wa leo na kuurudia kesho?
Acha utaahira tumia akili hata ya kuvalia nguo.