Wewe mwenyewe hapo mgonjwa na marehemu mtarajiwa.
Lakini kwa jinsi walivyoshangilia walipoambiwa kesho saa tatu basi hilo la kusaidiwa kupanda jukwaani hawakulijaliNimeambiwa huko Tunduma wananchi walipigwa butwaa baada ya kuona Lowassa anasaidiwa kupanda ngazi..
Ameshindwa kuhutubia kutokana na afya yake kutokuwa nzuri...
Tujadili hili pls?
Lakini fikra zangu.
"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."
Karibuni.
Mmmmmm
Tena bila aibu mbowe kasema Lowasa hawezi kuzungumza bila vyombo wakati yeye mwenyewe alikua anatumia vyombo hivyo hivyo.kwa hiyo eti wanaahirisha hadi kesho.je imgombea aaipotokea kabisa itakuaje
Duh. Kweli ww darasa la pili ..collapsion...
Gesti unafanywa nini muda huu dadaUsitake kudanganya watu mimi nilikuwepo na nimechukua na picha , mitambo ya kwanza ilianza kugoma kabla hata mheshimiwa hajatua chini Mpaka anaingia uwanjani haifanyi kazi makamanda wakaenda kukodi gari jingine limefika nalo likagoma pia, Mpaka hapo nimeamini kuwa Ccm mnatumia nguvu za giza kabisaaaaaaa
Hapa niko guest nasubilia kesho Saa 3
Tumia akili kidogo, hivi kuharibika kwa vifaa unashangaa?? Mbona chopa ilisababisha vifo vya wapenzi watu aina Deo na wenzake ilikuwa nzima kabisa wakati inaondoka kisha ila ikapata hitilafu na kusababisha maafa??Tujadili hili pls?
Lakini fikra zangu.
"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."
Karibuni.
Ndio maana ilani ya CHADEMA inahimiza elimu. Sasa neno " Collapsion" ni kiingereza au kigiriki? Rudi shule mbwiga weee.
Yaani Ukawa wanakosa vyombo lakini wanataka nchi? total collapsion, hata hapo walipo wamekosa maduka ama mafundi wa kufanya matengenezo? vipi mic na jukwaa havikuleta shida Leo? Ukiwa wameliwa sana aisee ..walidhani ngoma ya wakubwa inachezwa na watoto, ona sasa.