Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

KUWA CCM 2 N UJINGA TOSHA na ndo maana brn imeongeza wajinga wasom weng
 
.....

.....Hatuungiungi nyomi !!!

attachment.php

acha ushamba! CCM wanatumia GIANT Screen.....kuhakikisha kila mtu anaona kinachoendelea ....mnatia huruma na mmeshakuwa WAKIWA kweli hata vipaza sauti .....Hivi ni kweli au power bank iliisha Charge?
 
[h=3]Ukawa na mafuriko ya kutengeneza huko Tunduma[/h]

10414580_915065635196845_4581112242480472502_n.jpg


12065479_915065595196849_2155704828249543565_n.jpg


12088100_915065618530180_7104094341283245232_n.jpg


Ukawa na mafuriko ya kutengeneza huko Tunduma Leo. hatofautiani na kokoto zikipelekwa site.
 
Uhalisia upo wapi? Kila mtu hivi mara yule hivi. Labda niseme kwa mtazamo wangu
Wengi wape wachache tuwasikilize.
 
Wadau wa JF na wote ambao mtasoma uzi.

Kuna uzi umeanzishwa na idawa kuwa Lowasa ameshindwa kuhutubia mkutano wa Tunduma leo hii na kuzua sababu nyingine ambazo ni uwongo.

Usahihi au ukweli wa jambo hilo ni huu. CDM kesho wana mkutano mkubwa Mbeya Mjini, hivyo gari gari mbili zipo jijini Mbeya kwa ajili ya matayarisho ya mkutano huo. Tunduma ilipelekwa gari moja ambayo mitambo ilikorofisha mida ya saa kumi baada ya kutokea hitilafu kwenye jenereta. Juhudi za mafundi kurekebisha zilizshindikana na kaumuru PI system iliyokuwa inatumia pale Tunduma iitwe. Ilipofika ilishindwa kusukuma spika zile kubwa zilizopo uwanjani hali iliyopelekea kuahirishwa mkutano.

Lakini wananchi wa Tunduma wamelielewa hilo na wana imani na Lowasa na kesho wameahidi kujitokeza kumsikiliza tena mgombea huyo wa UKAWA kwa wingi ule ule.

La kutia moyo ni kwamba crue nzima ya ITV ipo Jijini Mbeya kwaa ajili ya kurusha mkutano huo moja kwa moja kutoka jiji hilo ambao ni ngome ya CDM kwa muda mrefu. Mkutano utaorushwa si ule wa Tunduma ambao umeahirishwa.

Huo ndiyo ukweli wa kilichotokea Tunduma.

Nawasilisha.
Acheni usanii makamanda jaribu muwe wakweli wa mambo. Hivi unataka kuniambia maandalizi makubwa kama yale yakakosa njia mbadala? ?? Mbona wengine waliongea kwa kipaza sauti au vile vilikuwa vya kwao na haviazimishwi? Njooni na story nyingine basi.
Mnatia aibu kama ndio hivi vipaza sauti tu vinawashinda mtaweza kuongoza linchi kama hili letu? ?
 
Tumekusikia na tumekuelewa kamanda. Aluta Continua! Mapambano yanaendelea na MABADILIKO lazima.
 
Kweli viroba nomaaa...eti umabishana na ukweli?mtachora sana na edit mfanye kupindisha mambo...but Magufuli ndio habari ya mjinii...he is an untouchable
 
Back
Top Bottom