Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

tutoleeee apaaa taarifaaa zakoo za kitoto.....unazani hatujuikilicho mpata mamviii huko tundumae.....hizooo taarifa peleka ufipani.....
 
Huna jipya sema uambiwe nini kinaendelea. Jamaa hapo wengine wanaangalia Screen na wengine wanaangalia direct kwa kiongozi wenu wa Tano Mh. Magufuli. Huna jipya wewe, VILOBA tu ndio vimekuharibu akili.

Neeeeexxxxxxxxxxt
Eti screen kadanganye wagawa 0715 wenzako
 
Hivi hamuoni kuwa hii ni janja ya nyani?

Mzee alikuwa taabani, alipitisha muda wake wa kuchomwa sindano so hakukuwa na namna ni lazima tu ahairishe mkutano.

Eti system mbili tofauti zote ziligoma wakati wa kutaka kuzungumza yeye... Are you serious? hivi wanataka kura ili watuongoze au wajinufaishe wao wenyewe?

Tumes'tuka... hatuwapi kura katu, Rais wetu ni Magufuli


He is more than serious, I hope you will vote for changes. HONOURABLE LOWASSA FOR BRIGHT FUTURE OF OUR COUNTRY
 
Furahisha mwanza magufukika
 

Attachments

  • 1445117165534.jpg
    1445117165534.jpg
    97.5 KB · Views: 591
Wadau wa JF na wote ambao mtasoma uzi.

Kuna uzi umeanzishwa na idawa kuwa Lowasa ameshindwa kuhutubia mkutano wa Tunduma leo hii na kuzua sababu nyingine ambazo ni uwongo.

Usahihi au ukweli wa jambo hilo ni huu. CDM kesho wana mkutano mkubwa Mbeya Mjini, hivyo gari gari mbili zipo jijini Mbeya kwa ajili ya matayarisho ya mkutano huo. Tunduma ilipelekwa gari moja ambayo mitambo ilikorofisha mida ya saa kumi baada ya kutokea hitilafu kwenye jenereta. Juhudi za mafundi kurekebisha zilizshindikana na kaumuru PI system iliyokuwa inatumia pale Tunduma iitwe. Ilipofika ilishindwa kusukuma spika zile kubwa zilizopo uwanjani hali iliyopelekea kuahirishwa mkutano.

Lakini wananchi wa Tunduma wamelielewa hilo na wana imani na Lowasa na kesho wameahidi kujitokeza kumsikiliza tena mgombea huyo wa UKAWA kwa wingi ule ule.

La kutia moyo ni kwamba crue nzima ya ITV ipo Jijini Mbeya kwaa ajili ya kurusha mkutano huo moja kwa moja kutoka jiji hilo ambao ni ngome ya CDM kwa muda mrefu. Mkutano utaorushwa si ule wa Tunduma ambao umeahirishwa.

Huo ndiyo ukweli wa kilichotokea Tunduma.

Nawasilisha.

Kwa nini asingehutubia na ile mic ya mbowe alotumia?mbona mbowe alisikika?
 
lowassa ameshindwa kuhutubia leo tunduma kisa vyombo vinasumbua.

Katika team yake ya kampeni hakuna aliepanda jukwaani zaidi ya mbowe kwa dakika moja kuwaeleza wananchi kuwa tatizo ni vyombo.

ya geita yajirudia tena
 
Da.magamba mapovu yanawatoka.huyo hata kama alale usingizi.awe bubu gafla.au kipofu.watu ndio wameshamkubali hakuna jinsi.
 
Kwa nini tuandikie mate kama wino upo?


cc: Mr Chin
Kumbe Microphone zinafanya kazi. Hapo sasa kawadanganye WAKIWA wenzako kuwa ni Mike zenye shida huku wataalamu tukifahamu kuwa jamaa yenu ni mgonjwa na labda ni teja vile vile.
 
Mr chini inamaana hujui kama watu wanakushangaa umeshindwa kuchukua pc leo wale wanafunzi wa shule ya msingi walipewa manjano yasouzika yale unaweka wasokuhusu baba mwaka huu subir presure tu
 
Back
Top Bottom