Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Wanajificha uso nyuma ya jani la muwa wakati mwili wote unaonekana! Aibu wanayoipalilia wataivuna tarehe 25/10/2915

Hiyo picha wameunga watu wa CDM. Nao ni maarufu ktk kuunga unga. Uzuri CCM wana rusha live mikutano yao. Kidumu chama kigumu kutoka madarakani!!!!
 
Huna jipya sema uambiwe nini kinaendelea. Jamaa hapo wengine wanaangalia Screen na wengine wanaangalia direct kwa kiongozi wenu wa Tano Mh. Magufuli. Huna jipya wewe, VILOBA tu ndio vimekuharibu akili.

Neeeeexxxxxxxxxxt

We kweli Juha
 
wanao zusha wote wanavigoda tu mbona tulio kuwepo tumeelewa nachojua mm siyo kwamba hawaelewi ukweli ila wanafanya kusudi
 
Sisi wa viroba tutawaonyesha kuwa tunaakili kuliko nyinyi
[h=2]Maeneo ambayo Lowassa alishindwa kuhutubia[/h]
12108790_900155150081093_304245768386821476_n.jpg


Mwingine huu hapa. TUNDUMA

12105725_720369238094878_6499237189801155401_n.jpg
 
CHADOMO wameshikwa PABAYA....NGUVU ZA MISUKULE KUTOKA KWA ASKOFU WAO MKUU NA PETE YA NIGERIA LEO HAVIKUFANYA KAZI!
 
Wadau wa JF na wote ambao mtasoma uzi.

Kuna uzi umeanzishwa na idawa kuwa Lowasa ameshindwa kuhutubia mkutano wa Tunduma leo hii na kuzua sababu nyingine ambazo ni uwongo.

Usahihi au ukweli wa jambo hilo ni huu. CDM kesho wana mkutano mkubwa Mbeya Mjini, hivyo gari gari mbili zipo jijini Mbeya kwa ajili ya matayarisho ya mkutano huo. Tunduma ilipelekwa gari moja ambayo mitambo ilikorofisha mida ya saa kumi baada ya kutokea hitilafu kwenye jenereta. Juhudi za mafundi kurekebisha zilizshindikana na kaumuru PI system iliyokuwa inatumia pale Tunduma iitwe. Ilipofika ilishindwa kusukuma spika zile kubwa zilizopo uwanjani hali iliyopelekea kuahirishwa mkutano.

Lakini wananchi wa Tunduma wamelielewa hilo na wana imani na Lowasa na kesho wameahidi kujitokeza kumsikiliza tena mgombea huyo wa UKAWA kwa wingi ule ule.

La kutia moyo ni kwamba crue nzima ya ITV ipo Jijini Mbeya kwaa ajili ya kurusha mkutano huo moja kwa moja kutoka jiji hilo ambao ni ngome ya CDM kwa muda mrefu. Mkutano utaorushwa si ule wa Tunduma ambao umeahirishwa.

Huo ndiyo ukweli wa kilichotokea Tunduma.

Nawasilisha.


Tunduma itakuwa saa ngapi na Mbeya saa ngapi? Au tupe ratiba ya kesho!
 
Back
Top Bottom