Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Kwa nini Lowasa asipumzike maana tumeshamuelewa tunasubiri aapishwe tu mzee wetu.
 
Uliangalia shed yetu? hiyo karatu ilwekwa wapi?
12108790_900155150081093_304245768386821476_n.jpg
 
yaani ukawa wamefilisika namna hiyo mpaka wamekosa hela ya kununua vipaza vya ziada vingine vinapozengua.
 
Wadau
Kwenye taarifa ya habari ya leo I TV. ...saa mbili. .ukawa wamelazimika kuahirisha mkutano kutokana na vipaza sauti kuwa vibovu. ..hii wadau imekaaje. ..nimefikiria sana shida ni nini;.... .nani hakuwajibika na nini kifanyike ili hii changamoto na aibu isijirudie tena. ...karibuni kwa michango ya kujenga kwa team ya campaign ya ukawa dakika hizi za lala salama.
Habari hii si ya kweli kwa kusingizia vipaza sauti. Ukweli ni kuwa waliona watu sio wengi sana kama walivyotegemea. Wakaona aibu kuendelea ingeshusha morali ya mashabiki.
Kesho ndio watapungua zaidi maana watu watu wanataka wafanye shughuli zao
 
mh na nii.
Hiyo picha wameunga watu wa CDM. Nao ni maarufu ktk kuunga unga. Uzuri CCM wana rusha live mikutano yao. Kidumu chama kigumu kutoka madarakani!!!!
 
Attachments

  • 1445114659509.jpg
    1445114659509.jpg
    54.3 KB · Views: 319
CHADOMO wameshikwa PABAYA....NGUVU ZA MISUKULE KUTOKA KWA ASKOFU WAO MKUU NA PETE YA NIGERIA LEO HAVIKUFANYA KAZI!
Lowassa kwisha habari yake.

Lowassa kapaniki baada ya kusikia Mafuriko ya Mwanza.
 
hahahaaahhaaahahah.......head linee nmeipendaaa Sana'a mkuuuuu......ilaaaa apaaaa kiukwl kuna kituuu akinaaa mboweee wamekfichaaaa uyuuuu mzeew nackiaaa alshndwaaa ataaa kusimaamaaa wakatii uoo wa mkutanoooo duuuuh jamani pole baba angu lowasa ugua poleee.....ushauri wangu was bureee achana na siasa upumzike nyumbani mzee wetuu.....hali yakoooo siooo nzuriii kiukwliiii
 
Tujadili hili pls?

Lakini fikra zangu.

"Me nampenda mungu maana ni muaminifu, anafichua yale yote yanayofanywa sirini, haya sasa, wana tunduma mmeona kwa macho yenu, mmesikiliza mziki mwanzo mwisho, alafu by the time anatakiwa kuongea mzee tu mnaambiwa vimeharibika, that is a cheap reason kutolewa kwa mtu/chama kinachotaka kuongoza nchi, wakat wwngine wote wametumia vyombo hivyoo...na mmetangaziwa mkutano kesho kwa vyombo hivyo hivyo."

Karibuni.
Mkuu huenda atahutubia saa tatu usiku kupitia ITV,au tutapata taarifa kuwa tukasome hotuba kwenye mitandao,kwa visingizio na vijisababu,wana UKIWA ni nambari wani
 
Wadau wa JF na wote ambao mtasoma uzi.

Kuna uzi umeanzishwa na idawa kuwa Lowasa ameshindwa kuhutubia mkutano wa Tunduma leo hii na kuzua sababu nyingine ambazo ni uwongo.

Usahihi au ukweli wa jambo hilo ni huu. CDM kesho wana mkutano mkubwa Mbeya Mjini, hivyo gari gari mbili zipo jijini Mbeya kwa ajili ya matayarisho ya mkutano huo. Tunduma ilipelekwa gari moja ambayo mitambo ilikorofisha mida ya saa kumi baada ya kutokea hitilafu kwenye jenereta. Juhudi za mafundi kurekebisha zilizshindikana na kaumuru PI system iliyokuwa inatumia pale Tunduma iitwe. Ilipofika ilishindwa kusukuma spika zile kubwa zilizopo uwanjani hali iliyopelekea kuahirishwa mkutano.

Lakini wananchi wa Tunduma wamelielewa hilo na wana imani na Lowasa na kesho wameahidi kujitokeza kumsikiliza tena mgombea huyo wa UKAWA kwa wingi ule ule.

La kutia moyo ni kwamba crue nzima ya ITV ipo Jijini Mbeya kwaa ajili ya kurusha mkutano huo moja kwa moja kutoka jiji hilo ambao ni ngome ya CDM kwa muda mrefu. Mkutano utaorushwa si ule wa Tunduma ambao umeahirishwa.

Huo ndiyo ukweli wa kilichotokea Tunduma.

Nawasilisha.

Mbeya mkutano hautakuwepo?
 
Nimeongea na ndugu yangu yuko Tunduma amenieleza main system ilizingua sana, na mafundi wakafanya juhudi kutengenza bika mafanikio, baadae hali ilipokua tete ikaja gari ya matangazo (road show) yenye sauti ndogo sana ambyo ndio mbowe alitumia kutawanyishia watu, waliokua jirani tu ndio walisia nn mbowe kaongea maana sauti ya PA ilikua ndogi sana, so kwa sauti ioe ndogo ni wazi Lowassa asingeweza kuhutubia akasika vizuri kwa umati ule mkubwa na pia sauti yake ndogo hata angefanyaje asingesikika.

Suala la afya na kumponda Lowassa kwamba ameshindwa kuongea ni upuuzi na ujinga tu, maana kama angekua mgonjwa angekuja kufanya nini jukwanani na kukaa kwa masaa zaidi ya moja na nusu kama inavyoelezwa? Ndugu zangu tuwe waungwana sio busara kila kitu kukifanya propogand.

habari inashabihiana na habari yako so kuna ukweli, let us believe. Lakini sasa na nyie watu wa UKAWA na CDM mjipange aisee, mnawapa sana wapinzani wenu nafasi ya kuongea nakutunga uongo mwiiingi, huku ukipewa nafasi sana na hata hauunganishwi kama uzi mmoja, kwa siku zilizobaki wekeni PA sawa sawa kuhakikisha hili la mitambo halijirudii na mgombea asisshindwe kuongea.
 
Wadau wa JF na wote ambao mtasoma uzi.

Kuna uzi umeanzishwa na idawa kuwa Lowasa ameshindwa kuhutubia mkutano wa Tunduma leo hii na kuzua sababu nyingine ambazo ni uwongo.

Usahihi au ukweli wa jambo hilo ni huu. CDM kesho wana mkutano mkubwa Mbeya Mjini, hivyo gari gari mbili zipo jijini Mbeya kwa ajili ya matayarisho ya mkutano huo. Tunduma ilipelekwa gari moja ambayo mitambo ilikorofisha mida ya saa kumi baada ya kutokea hitilafu kwenye jenereta. Juhudi za mafundi kurekebisha zilizshindikana na kaumuru PI system iliyokuwa inatumia pale Tunduma iitwe. Ilipofika ilishindwa kusukuma spika zile kubwa zilizopo uwanjani hali iliyopelekea kuahirishwa mkutano.

Lakini wananchi wa Tunduma wamelielewa hilo na wana imani na Lowasa na kesho wameahidi kujitokeza kumsikiliza tena mgombea huyo wa UKAWA kwa wingi ule ule.

La kutia moyo ni kwamba crue nzima ya ITV ipo Jijini Mbeya kwaa ajili ya kurusha mkutano huo moja kwa moja kutoka jiji hilo ambao ni ngome ya CDM kwa muda mrefu. Mkutano utaorushwa si ule wa Tunduma ambao umeahirishwa.

Huo ndiyo ukweli wa kilichotokea Tunduma.

Nawasilisha.

hahaaaaaa leo hamjamubust wengine wanasikaka yeye jenereta imegoma teteeeee
 
mzeee ali sizi pale mkutanoni tundumaaa msitakee kutuleteaaa maswala ya uongo nyieee chademaaa......kwann spika zifanye kazi kwa mboweee alafuuu zishindwee kufanyaaa kaziii kwa mamviiii.kawadanganyeni ukawa wenzenu ambao hawajaenda shuleee lkn sio watu wenye busara zetuuuu
 
Lowassa ameshindwa kuhutubia leo Tunduma kisa Vyombo vinasumbua.

Katika team yake ya kampeni hakuna aliepanda jukwaani zaidi ya Mbowe kwa dakika moja kuwaeleza wananchi kuwa tatizo ni vyombo.
Siasa zinaendelea kunoga tu. Ona hii 👇🏼👇🏼

L Lazima
O October
W Wampe
A Atuongoze
S Sababu
S Sifa
A Anazo

M Mtanzania
A Angalia
G Gari
U Unalopanda
F Feki
U Utajuta
L Likilipuka
I Injini
 
Back
Top Bottom