Hatimaye kesho anachukua jiko

Hatimaye kesho anachukua jiko

Weka picha ya shemeji tumuone kwanza. Hongera zake.
 
Nialike Nami Nije Kuwawekea Mikono. Angalia Wasiwafungishd Ndoa Ya Shida Na Raha, Kataeni Kwan Hapo Ndio Mlango Wa Shetani Kupitishia Vitu Vyake. Hakikisha Unatamka Mema Tu, Sawaa? Sasa Kaa Kwny Maombi Ucku Huu,na Nami Nakuombea Zoezi Lifankiwe Ktk Jina La Yesu Kristo, Seama Amen
 
nialike nami nije kuwawekea mikono. Angalia wasiwafungishd ndoa ya shida na raha, kataeni kwan hapo ndio mlango wa shetani kupitishia vitu vyake. Hakikisha unatamka mema tu, sawaa? Sasa kaa kwny maombi ucku huu,na nami nakuombea zoezi lifankiwe ktk jina la yesu kristo, seama amen

asante mkuu mungu akubariki sana
 
Hongera sana.....

Narudia tena ushauri wangu ...

Ukishaoa nenda hanimuni mwezi mzima bila simu ipad wala laptop

Angalau seva za jf zipumue... na upate muda wa kujilia vya halali sasa...

Cc Ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:
Aaah lukelo sakafu ndoa za kanisani ni mateso. Hakuna kuachana hata kama ni kero kiasi gani. Yaani mnalazimishwa kuishi maisha mliyoshindwana. Mungu hayuko ridrigid kiasi hicho bana......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom