lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
karibu sana mkuu
mimi nataka kuja kubonya huo msosi tu
Sasa tusubirie thread za vimbwanga vya lukelo na mamsapu wake...
Kwa hiyo zile thread zako hatuzioni kwa siku ngapi mkuu??
Hii peleka TBC ktk kipindi cha chereko
Kwa hiyo zile thread zako hatuzioni kwa siku ngapi mkuu??
Sasa tusubirie sredi za vimbwanga vya lukelo na mamsapu wake...
Hongera mkuu kwa kupata chombo.Hatimaye kesho, saa tisa mchana katika kanisa la SINZA KKKT, kijana wenu Lukelo Sakafu atafunga pingu za maisha na queen of bongo.WanaJF wote mnakaribishwa kumpatia support member mwenzenu. Pia mtapata fursa ya kumuona live Lukelo Sakafu.
Hongera sana.....
Narudia tena ushauri wangu ...
Ukishaoa nenda hanimuni mwezi mzima bila simu ipad wala laptop
Angalau seva za jf zipumue... na upate muda wa kujilia vya halali sasa...
Cc Ruttashobolwa
Huyu huyu lukelo sakafu mwenye mada za utatanishi humu JF?
Tunamtakia Kila la kheri, labda sasa akili zitatulia.
Siku nikimjuwa huyo mrembo ntampa link za mada zote za lukelo sakafu ili aelewe vituko atavyokumbana navyo.