Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Hatimaye kesho, saa tisa mchana katika kanisa la SINZA KKKT, kijana wenu Lukelo Sakafu atafunga pingu za maisha na queen of bongo.
WanaJF wote mnakaribishwa kumpatia support member mwenzenu. Pia mtapata fursa ya kumuona live Lukelo Sakafu.
Hongera sana Lukelo,binafsi ninakuombea maisha mema ya ndoa na Mungu awajalie kupata watoto wema.