Hatimaye kapatikana

Hatimaye kapatikana

Matusi hayafai mkuu. Be humble, usitukane. Umeleta mada mezani kumhusu Kiranga na tunajadili jinsi ww na Kiranga haziivi na jinsi alivokua anakunyima amani jukwaani, sasa waanza matusi.
Anyway, am an idiot, u are a smart guy.
Kichwa cha habari kinasema HATIMAYE AMEPATIKANA na nikaweka picha ya GUTA yenye maneno kiranga boy wewe ukaleta mada ya kiranga.... Huoni jinsi ulivyokurupuka ndugu yangu
Halafu unapenda mno kuwasemea wengine unasema nina amani sasa kwakuwa sijui nani hayupo are you serious?
IMG_20190528_111026.jpeg
 
Kwenye mijadala ni tofauti kidogo na mitihani ya darasani. Mijadala inakubid umfafanulie hilo swali ili mtu ajikite kwenye hoja aliyomanisha muuliza swali. Mfano mtu akija akasema "nimemuona MSHANA akiichukua pesa dukani"

huyo mtu tutamuuliza "unazungumzia MSHANA yupi"?
Nae atatujibu "Ni mshana flani bin flani yule wa jamii forum anaeshindwa na kiranga kwenye mijadala ya "JAMII INTELLIGENCE" na mfano wa mada zake ni "HATIMAYE KAPATIKANA"

Kaka nakupa faida kwa kile cha mwanzo,katila elimu ya mijadala na adabu zake,kuna adabu za kuuliza maswali na kujibu maswali. Kwa faida ya elimu ya mijadala tafuta kitabu kiitwacho 'Adabul Bahathi wal Munadhara' (Adabu za kufanya utafiti na majadaliano).

Kiasili katika lile swali Kiranga alitakiwa ajibu,sababu swali halikutaka kuuliza swali tena bali lilitaka lijibu swali.

Pili umetoa mfano wa kauli isiyokuwa na ishara ya swali kwa nafsi ya kwanza. Nakuuliza tu hata wewe katika hiyo kauli yako kama mfano wa dukani,nini kimeanza ? Je kimeanza swali au kauli ya kueleza kadhia ?

Nawakumbusha wadau,tuepuke tabia ya kushindana shindana na kushindanisha watu,hii hupelekea watu kuukataa ukweli wazi wazi na si katika tabia nzuri na yenye kupigiwa mfano.

Na kupenda mijadala si tabia nzuri.

Nawasabahi waungwana ...
 
Kiranga alikua sahihi. Alikuuliza kuhusu akili unayomaniisha maana, ili akujibu kua hiyo akili anayo au hana. Huenda ww unaelewa kua akili ni kua namba moja darasani. Yeye akawa anaelewa kua akili ni uwezo wa kung'amua mema na mabaya na kutoa suluhisho sahihi dhidi ya matatizo pamoja na kuchambua na kutafakari mambo.

Angewezaje kukujibu kama ana akili wakati hajui ww akili unayoifaham ni ipi.
Akakuyumbisha ukayumba, tukakukazia umjibu akili ipi unayomaanisha ukakataa.

Kwa kweli ww na kiranga mlikua chachu kweny ile mijadara,. We miss Kiranga so much.

Mwenye akili anajua akili ni nini,japo huweza kushindwa kuiweka katika mizani ya kielimu.

Kama ilivyo leo hii hakuna asie jua maji nini ?

Almuhimu pale swali aliloulizwa ni maarufu sana na katika mizani ya kielimu alionyesha udhaifu sana wa yeue tena kuuliza swali baada ya kujibu swali.

Au kuna akili za aina ngapi ?
 
Kaka nakupa faida kwa kile cha mwanzo,katila elimu ya mijadala na adabu zake,kuna adabu za kuuliza maswali na kujibu maswali. Kwa faida ya elimu ya mijadala tafuta kitabu kiitwacho 'Adabul Bahathi wal Munadhara' (Adabu za kufanya utafiti na majadaliano).

Kiasili katika lile swali Kiranga alitakiwa ajibu,sababu swali halikutaka kuuliza swali tena bali lilitaka lijibu swali.

Pili umetoa mfano wa kauli isiyokuwa na ishara ya swali kwa nafsi ya kwanza. Nakuuliza tu hata wewe katika hiyo kauli yako kama mfano wa dukani,nini kimeanza ? Je kimeanza swali au kauli ya kueleza kadhia ?

Nawakumbusha wadau,tuepuke tabia ya kushindana shindana na kushindanisha watu,hii hupelekea watu kuukataa ukweli wazi wazi na si katika tabia nzuri na yenye kupigiwa mfano.

Na kupenda mijadala si tabia nzuri.

Nawasabahi waungwana ...
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123]
 
Mwenye akili anajua akili ni nini,japo huweza kushindwa kuiweka katika mizani ya kielimu.

Kama ilivyo leo hii hakuna asie jua maji nini ?

Almuhimu pale swali aliloulizwa ni maarufu sana na katika mizani ya kielimu alionyesha udhaifu sana wa yeue tena kuuliza swali baada ya kujibu swali.

Au kuna akili za aina ngapi ?

Ukitafakari kwa kina utagundua kua Kiranga alikua sahihi. Sema muhusika akawa mbishi, laiti angetoa jibu tungefaid mengi.

Na kuna mtu aliufungulia uzi hayo mabishano ya Kiranga na Mshana akimlaumu Mshana kutokujib swali ili mjadala uendelee akimtaja kama mtu asie na weledi kweny mijadala kwa kushindwa kutolea ufafanuzi swali lake akiishia kulalamika na kutika kwenye mantiki ya hoja
 
Mshana kutokujib swali ili mjadala uendelee akimtaja kama mtu asie na weledi kweny mijadala kwa kushindwa kutolea ufafanuzi swali lake akiishia kulalamika na kutika kwenye mantiki ya hoja

Kazi ipo[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Ukitafakari kwa kina utagundua kua Kiranga alikua sahihi. Sema muhusika akawa mbishi, laiti angetoa jibu tungefaid mengi.

Na kuna mtu aliufungulia uzi hayo mabishano ya Kiranga na Mshana akimlaumu Mshana kutokujib swali ili mjadala uendelee akimtaja kama mtu asie na weledi kweny mijadala kwa kushindwa kutolea ufafanuzi swali lake akiishia kulalamika na kutika kwenye mantiki ya hoja

Unafikiri kwanini swali lake lilitaka litolewe ufafanuzi ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom