Hatimaye kapatikana

Hatimaye kapatikana

Kajamaa kalikua kanakukaba koo unabaki kung'aa sharubu tu unatafuta huruma kwa wapenz wasomaj.
Ila umemmis ndo maana unamsaka adi kitaani. Uongo?
Huu ni mtazamo wako ambao sihusiki nao... Kwakuwa ni haki yako... Ninachoweza kusema ni kwamba hauna uhalisia
 
Aah bwana, umesahau ule uzi wa zaidi ya page 100 alikuuliza swali tu dogo ukazngua kujib.
Wasomaj tulikereka bhana ungekua karb mmh ngumi moja mpaka ujibu.
 
Lilikuwa linasemaje hilo swali?
Nyuzi nyingi, Kiranga anakuwa kuoga wa kujibu maswali, anataka yeye awe muuliza mswali tu.

Kwa ufaham alio nao na maswali anayoulizwa huwezi uliza badala ya kujibu swali.

Japo nimefuatilia sana, wakana Mungu siku zote huishiwa hoja kana hawana mahali pa kuegemea ila kwenye utupu na hakuna.
 
Ndio maana nikamuuliza huyo mdau ni swali gani hilo?
 
Kiranga ni mtu mwenye kujenga hoja na ana uwezo kuufany uongo uwe ukweli kwa hoja zake, ila Mshana Jr yy pamoja na kua yuko kweny hoja ambayo angeitetea angeshinda kwa urahis ila akajikuta ana panik na kiranga kujizolea point nying nakuonekana kua hoja zake zina mantiki
Nimekuelewa mkuu. Usiku mwema
 
Ww hulifaham Mshana Jr wakat ulipanik ukatoka kweny hoja. Page 100+ unazunguka tu
Kiranga ni mtu mwenye kujenga hoja na ana uwezo kuufany uongo uwe ukweli kwa hoja zake, ila Mshana Jr yy pamoja na kua yuko kweny hoja ambayo angeitetea angeshinda kwa urahis ila akajikuta ana panik na kiranga kujizolea point nying nakuonekana kua hoja zake zina mantiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom