Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,270
- 6,344
Kwanza naomba nieleweke.Vema sana haya jibu yale maswali yetu sasa ili tuweze kusonga mbele.... Jibu kama wewe ili ujenge legacy yako
Mm sio non-believer, mm naamini uwepo wa Mungu. Tena sana.
Kwenye ule mjadala ilitakiwa umjibu Kiranga ili mjadala uendelee tuweze kujua hoja zake za kupinga uwepo wa Mungu zimejikita wap.
Mm siwezi kujibu maswali uliyomuuliza Kiranga kwan sio muumini wa imani ya kutokuwepo Mungu..anayoiamini Kiranga.
Labda Kiranga mwenyewe aje.
Kiranga njoo utolee majibu hoja zako.