Hatimaye kapatikana

Hatimaye kapatikana

Kuna akili za aina ngapi ? Hili swali nilikuuliza tangu mchana lakini hukujibu,ukijibu swali hili ndio utajua kama Kiranga alikosea kuuliza swali hilo na alionyesha uwezo mdogo wa kung'amua mambo bali hiyo ndio njia yake ya kukwepa maswali.

Hapo juu umenijibu kua nafsi yako inajua ulikua ndani kwako hujatoka ndo maana ukajibu "siyo"

Kwa upande wa nafsi ya Kiranga na kwa mujibu wa kauli zake ni dhahiri kua anajua kua kuna aina nyingi za akili. Ilitakiwa Mshana amtendee ihisan kumfafanulia swali ili atoe majibu.
 
Muft unaniangusha sasa,bora ungeishia huko juu,hivi kuna kweli ngapi ? Lakini hivi angeomba ufafanuzi unafikiri asingepewa ? Kuna tofatui ya kuomba ufafanuzi na kuuliza swali. Mfano wa kuomba ufafanuzi ni kama hivi "Naomba unifafanulie swali lako au Kaka sijaelewa swali nifafanulie". Lakini huu utoto anao sana Kirnga na hii ni kutokana na kupenda kushindana na kuonekana wajuaji mpaka anakuwa mjinga na kukataa ukweli. Hivi ndivyo wenye akili hufanya.

Ndio maana nikakuuliza wewe kuna aina ngapi za akili ?

Usiukumbatie ujinga na kuikataa haki kwa ujinga.
 
"There's no universal good or wrong".

Uzuri wa kitu hauko kwenye hicho kitu bali kwa anaekitazama.

Adui yako sio adui wa watu wote na kinyume chake.

Kwa hiyo huwezi sema "Hiki kitu ni kizuri" na ukasema ni kizuri kwa watu wote.

Roman Catholic waliamin Dunia inalizunguka jua na ikawa ndo kweli yao. Lakn sasa hivi ni tofauti.

Ukweli ni wa mda, na mda mwingne haudumu.
 
Roman Catholic waliamin Jua linazunguka dunia na ikawa ndo kweli yao. Lakn sasa hivi ni tofauti.

Hii ndio sababu iliyowafanya wanafalsafa wakapotea,sababu walikosa ala za kuwafikisha kuupata UKWELI.

Kusema kuna kweli kulingana na mtu anavyo ona yeye,huu ni uvivu wa kufikiri,vipi nikisema rangi ya blue sio blue ni nyeusi nitakuwa sahihi na je huo ndio utakuwa ukweli wangu ?

Vipi kuhusu uzuri wa wema na haki ? Unataka uniambie ya kuwa haki ni nzuri kwa wachache tu ? Sasa hivi votu vidogo sana havihitaji kuumiza kichwa kuujua ukweli.

Na inaonekana hujui maana ya ukweli,ndio maana unasema kweli ziko nyingi.
 
Hapa nataka uniambie,ukweli ukoje sasa ? Ina maana dunia ndio inazunguka jua ? Au wanasayansi wamesemaje kwa zama hizi ?

Hivi hapa huoni kuna uongo dhidi ya ukweli ?

Tafakari kikubwa.
 
Hii ndio sababu iliyowafanya wanafalsafa wakapotea,sababu walikosa ala za kuwafikisha kuupata UKWELI.

Kusema kuna kweli kulingana na mtu anavyo ona yeye,huu ni uvivu wa kufikiri,vipi nikisema rangi ya blue sio blue ni nyeusi nitakuwa sahihi na je huo ndio utakuwa ukweli wangu ?

Vipi kuhusu uzuri wa wema na haki ? Unataka uniambie ya kuwa haki ni nzuri kwa wachache tu ? Sasa hivi votu vidogo sana havihitaji kuumiza kichwa kuujua ukweli.

Na inaonekana hujui maana ya ukweli,ndio maana unasema kweli ziko nyingi.

Ok, utamaduni ni mfumo wa maisha ya watu flani.
Utamaduni wa jamii moja ni tofauti na wa jamii nyingne.
Wengn wakisema utamaduni flan ni mbaya.
Sasa basi "Utamaduni bora ni wa namna gan"?
Au ukweli ni upi apo?
 
Itabidi wakwambie kwanini utamaduni husika ni mbaya na kwa vigezo gani ?

Ukweli unabaki pale pale,wala haubadiliki.
 
Mizani inayopima ukweli ndo inaleta utata. Ni nani basi kaisimamisha na vigezo gani vimetumika?
Mtu anawezaj kusema flani ni mbaya wakati huyo flani ni rafiki wa mtu mwingne?
 
Pamoja na kua siafikiani nae kuhusu imani yake ya kutokuwepo kwa Mungu,, ila ulshindwa kumkosoa na kumshinda Kiranga ili sisi tunao Support uwepo wa Mungu tushinde.
Nilishindwaje? Mbona huweki dondoo unaishia tu kusema nilishindwa? Mpaka mada husika nimekuletea hapa... Ainisha basi niliposhindwa with vivid evidence.... Njoo na ithibati kuipa nguvu hoja yako..... Japo nakuhakikishia hutaweza kufanya hivyo
Kitu kingine lazima utambue kuwa Mungu hashindanishwi na chochote kile... Swali la akili lilikuwa ni swali la maarifa... Nilimuuliza kama ana akili akakwepa kujibu kwakuwa alishajua nini kitafuata... Sasa hapa nani alishindwa kati yangu mimi na yeye
Lakini tulishatoka huko... Naona uko so obsessed naye kiasi kwamba huwezi kujisimamia bila kumtaja... Sasa nakuuliza ulisema AKILI UNAZO... Hebu nioneshe AKILI zako ulizonazo
 
Hapo juu umenijibu kua nafsi yako inajua ulikua ndani kwako hujatoka ndo maana ukajibu "siyo"

Kwa upande wa nafsi ya Kiranga na kwa mujibu wa kauli zake ni dhahiri kua anajua kua kuna aina nyingi za akili. Ilitakiwa Mshana amtendee ihisan kumfafanulia swali ili atoe majibu.
Achana na mwingine yeyote jibu hili swali kuna akili za aina ngapi?
 
"There's no universal good or wrong".

Uzuri wa kitu hauko kwenye hicho kitu bali kwa anaekitazama.

Adui yako sio adui wa watu wote na kinyume chake.

Kwa hiyo huwezi sema "Hiki kitu ni kizuri" na ukasema ni kizuri kwa watu wote.

Roman Catholic waliamin Dunia inalizunguka jua na ikawa ndo kweli yao. Lakn sasa hivi ni tofauti.

Ukweli ni wa mda, na mda mwingne haudumu.
Ndio maana nikakuuliza wewe kuna aina ngapi za akili ?

Hebu tendea forum haki kwa kujibu hili swali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom