Hatimaye kapatikana

Hatimaye kapatikana

Mkuu ulipotelea wapi!??

Nipo, nasoma sana, nafanya kazi sana. Naendeleza mambo yangu sana.
Ukiendekeza Waswahili hapa utakasirika bila ya cha maana kutokea.

(Where you disappear son?)
Maintainin puttin myself in a position most of these rappers ain't in
I'm livin the ill streets blues got you hunger painin
Nothin to gain and a whole lot to lose you still singin fool
I'm thorough in every boro my name be ringin
Warmin it up for the perfect time to hit your brain and
Ya Feelin it?

Jay-Z "Feelin' It"

Ni kweli mkuu, kufanya kazi sana na ku-interact na wenzako kushare ideas kweny social medias, huko weng wanajfunza.

Infact watu tumekumiss,,haikupaswa kutuchunia ivo mkuu. Ukumbuke kila mtu na hulka take kuna wale wadsoweza kujenga hoja bali kutykana. So ni kuwachukulia easy
 
Mimi siendi kanisani, kanisa lilikuja kwetu kabla sijazaliwa, kwetu ndiyo kanisani.

Lakini, uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote ni "social construct, imagined reality".

Kama thamani ya pesa ya karatasi.

karibu sana mkuu,
ulienda wapi??
 
Mimi siendi kanisani, kanisa lilikuja kwetu kabla sijazaliwa, kwetu ndiyo kanisani.

Lakini, uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote ni "social construct, imagined reality".

Kama thamani ya pesa ya karatasi.

Ahaaaa, jamani. Tumemiss sana nondo hizo. But mm naamini uwepo wa Mungu 100%.
Ila hua nafatilia hoja zako sana, kwani pamoja na imani yetu ya uwepo wa Mungu tunashindwa kukujib ili na ww uamini kam sisi
 
Huwa nina kanuni ya kwamba kwa kila neno moja ninaloandika, niwe nina mengoine 100 niliyosoma.

Sasa nikaona naandika sana, napunguza kusoma, nikaamua nirudi kusoma zaidi ili uwiano uwe mzuri.

Tatizo kuna wengi wanaandika tu hapa bila kufanya tafiti na kusoma.
nimekuelewa mkuu,

karibu sana.
 
Huwa nina kanuni ya kwamba kwa kila neno moja ninaloandika, niwe nina mengoine 100 niliyosoma.

Sasa nikaona naandika sana, napunguza kusoma, nikaamua nirudi kusoma zaidi ili uwiano uwe mzuri.

Tatizo kuna wengi wanaandika tu hapa bila kufanya tafiti na kusoma.

Eti mkuu,, inasemekana umepata uteuzi kweny kitengo na siku hiz una bajaj, ni kweli?
 
Ahaaaa, jamani. Tumemiss sana nondo hizo. But mm naamini uwepo wa Mungu 100%.
Ila hua nafatilia hoja zako sana, kwani pamoja na imani yetu ya uwepo wa Mungu tunashindwa kukujib ili na ww uamini kam sisi
Nasoma hapa kitabu cha Timothy Keller, kinaitwa "The Reason For God: Belief In An Age Of Skepticism". Huwa napenda sana kusoma pande zote, za waamini na wasioamini.

Huyu Timothy Keller ni mchungaji, anaandika kwamba, wote tuangalie upande wa pili (waamini waangalie upande wa wasioamini, na wasioamini waangalie upande wa waamini). Anasema watu wanaoamini tu bila kujiuliza maswali magumu watajikuta siku moja imani yao inawekwa kwenye mtihani na majanga ya maisha, au maswali magumu ya watu wasioamini.

Amenikumbusha maneno ya Thomas Cornwall aliposema kwamba, wasioamini wanapouliza maswali magumu, wanawasaidia waamini kukuza imani zao.

Kwa hiyo, kwa vyovyote, naona maswali magumu ni kitu kizuri.

1. Kama dini ina uongo, maswali magumu yataumulika na kuuondoa.

2. Kama dini ina ukweli, maswali magumu yatashindwa kuonesha dini ina uongo, na hivyo, kuzidisha imani ya waamini.
 
Unachosema ni kweli. Lazma mtu atafute maarifa zaidi na zaidi kuutafuta ukweli.
Lakini mkuu ww ushawahi kukaa chini ukajiuliza kama kuna mtu aliezaliwa kwenye huu ulimwengu anaitwa "Yesu" na mwingne "Mussa"?
 
Kila siku anazaliwa Yesu na Mussa.
 
Bravo

Inspired
Nasoma hapa kitabu cha Timothy Keller, kinaitwa "The Reason For God: Belief In An Age Of Skepticism". Huwa napenda sana kusoma pande zote, za waamini na wasioamini.

Huyu Timothy Keller ni mchungaji, anaandika kwamba, wote tuangalie upande wa pili (waamini waangalie upande wa wasioamini, na wasioamini waangalie upande wa waamini). Anasema watu wanaoamini tu bila kujiuliza maswali magumu watajikuta siku moja imani yao inawekwa kwenye mtihani na majanga ya maisha, au maswali magumu ya watu wasioamini.

Amenikumbusha maneno ya Thomas Cornwall aliposema kwamba, wasioamini wanapouliza maswali magumu, wanawasaidia waamini kukuza imani zao.

Kwa hiyo, kwa vyovyote, naona maswali magumu ni kitu kizuri.

1. Kama dini ina uongo, maswali magumu yataumulika na kuuondoa.

2. Kama dini ina ukweli, maswali magumu yatashindwa kuonesha dini ina uongo, na hivyo, kuzidisha imani ya waamini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom