Hatimaye kapatikana

Hatimaye kapatikana

Ahahahhaha. Najua unajua na unakumbka vzr swali ulilomuuliza Kiranga na yy akakuuliza swali ukashindwa kujibu ikaleta mgongano wa mawazo na watu wote jukwaani wakakugeukia ww ujibu swali ili mada iendelee ....ukagoma katakata.

Anyway,,.....,
Ulimuuliza Kiranga "una akili au huna akili"

Kiranga: Akili ni nini?
Ukashindwa kujibu.
Kiranga akakzia "naomba unijibu, ..akili ni nini?
Mshana Jr Akapaniki.

Sio kwamba nakudisi, ww ni mtu maarufu sana jukwaani na mm kila post yako hua nasoma nukta hadi nukta...kiufupi mada zako nazikubali. Ila kweny issue ya kiranga ulitoka kapa siku ile.
 
Naomba nikueleweshe kwa weledi naona unajaribu kutumia sana neno NILIPANIKI lakini hujaweka hata mstari mmoja unaoonesha kupaniki kwangu
Naamini una elimu kwa maana ya kwamba umeenda shule
Naamini umefanya mitihani mingi... Baadhi ulifaulu na baadhi ulifeli... Kwenye mitahani yako hiyo je yale maswali ulikuwa unatoa majibu au na wewe ulikuwa unauliza maswali?
 
ATAKUULIZA SWALI BAADAYA KUTOA JIBU HAPO
 
Naomba nikueleweshe kwa weledi naona unajaribu kutumia sana neno NILIPANIKI lakini hujaweka hata mstari mmoja unaoonesha kupaniki kwangu
Naamini una elimu kwa maana ya kwamba umeenda shule
Naamini umefanya mitihani mingi... Baadhi ulifaulu na baadhi ulifeli... Kwenye mitahani yako hiyo je yale maswali ulikuwa unatoa majibu au na wewe ulikuwa unauliza maswali?

Kwenye mijadala ni tofauti kidogo na mitihani ya darasani. Mijadala inakubid umfafanulie hilo swali ili mtu ajikite kwenye hoja aliyomanisha muuliza swali. Mfano mtu akija akasema "nimemuona MSHANA akiichukua pesa dukani"

huyo mtu tutamuuliza "unazungumzia MSHANA yupi"?
Nae atatujibu "Ni mshana flani bin flani yule wa jamii forum anaeshindwa na kiranga kwenye mijadala ya "JAMII INTELLIGENCE" na mfano wa mada zake ni "HATIMAYE KAPATIKANA"
 
Haya ni maelezo au ni swali? "nimemuona MSHANA akiichukua pesa dukani"
 
Kwenye mijadala ni tofauti kidogo na mitihani ya darasani. Mijadala inakubid umfafanulie hilo swali ili mtu ajikite kwenye hoja aliyomanisha muuliza swali. Mfano mtu akija akasema "nimemuona MSHANA akiichukua pesa dukani"

huyo mtu tutamuuliza "unazungumzia MSHANA yupi"?
Nae atatujibu "Ni mshana flani bin flani yule wa jamii forum anaeshindwa na kiranga kwenye mijadala ya "JAMII INTELLIGENCE" na mfano wa mada zake ni "HATIMAYE KAPATIKANA"
Jaribu kutofautisha maswali na maelezo halafu angalia kinaanza nini swali au maelezo?
Hata kwenye mijadala kuna maswali majibu maelezo na ufafanuzi pia....
Swali dogo na rahisi kabisa kuhusu akili haulizwi mtoto mdogo au mwanafunzi
 
Kiranga alikua sahihi. Alikuuliza kuhusu akili unayomaniisha maana, ili akujibu kua hiyo akili anayo au hana. Huenda ww unaelewa kua akili ni kua namba moja darasani. Yeye akawa anaelewa kua akili ni uwezo wa kung'amua mema na mabaya na kutoa suluhisho sahihi dhidi ya matatizo pamoja na kuchambua na kutafakari mambo.

Angewezaje kukujibu kama ana akili wakati hajui ww akili unayoifaham ni ipi.
Akakuyumbisha ukayumba, tukakukazia umjibu akili ipi unayomaanisha ukakataa.

Kwa kweli ww na kiranga mlikua chachu kweny ile mijadara,. We miss Kiranga so much.
 
Kwanini unataka kumjibia? Ok hebu niambie basi wewe kuna akili za aina ngapi? [emoji23][emoji23][emoji23] hii ni kali kuliko
 
Kiranga ndo kiboko yako mkuu. Saiz una amani tele ila tu siku akitia timu humu ndani utamuona Mshana Jr
 
Kiranga alikua sahihi. Alikuuliza kuhusu akili unayomaniisha maana, ili akujibu kua hiyo akili anayo au hana. Huenda ww unaelewa kua akili ni kua namba moja darasani. Yeye akawa anaelewa kua akili ni uwezo wa kung'amua mema na mabaya na kutoa suluhisho sahihi dhidi ya matatizo pamoja na kuchambua na kutafakari mambo.

Angewezaje kukujibu kama ana akili wakati hajui ww akili unayoifaham ni ipi.
Akakuyumbisha ukayumba, tukakukazia umjibu akili ipi unayomaanisha ukakataa.

Kwa kweli ww na kiranga mlikua chachu kweny ile mijadara,. We miss Kiranga so much.
ni uwezo wa kung'amua mema na mabaya na kutoa suluhisho sahihi dhidi ya matatizo pamoja na kuchambua na kutafakari mambo. NAONA UNAJARIBU KUMJIBIA KWA NGUVU ZOTE je wewe ni
pacha wake?
IMG_20190530_084845.jpeg
 
ni uwezo wa kung'amua mema na mabaya na kutoa suluhisho sahihi dhidi ya matatizo pamoja na kuchambua na kutafakari mambo. NAONA UNAJARIBU KUMJIBIA KWA NGUVU ZOTE je wewe ni
pacha wake? View attachment 1111939
Matusi hayafai mkuu. Be humble, usitukane. Umeleta mada mezani kumhusu Kiranga na tunajadili jinsi ww na Kiranga haziivi na jinsi alivokua anakunyima amani jukwaani, sasa waanza matusi.
Anyway, am an idiot, u are a smart guy.
 
Matusi hayafai mkuu. Be humble, usitukane. Umeleta mada mezani kumhusu Kiranga na unajadili jinsi ww na Kiranga haziivi na jinsi alivokua anakunyima amani jukwaani, sasa waanza matusi.
Anyway, am an idiot, u are a smart guy.
Tafsiri ya matusi ninini? Wapi nimetukana?
 
ni uwezo wa kung'amua mema na mabaya na kutoa suluhisho sahihi dhidi ya matatizo pamoja na kuchambua na kutafakari mambo. NAONA UNAJARIBU KUMJIBIA KWA NGUVU ZOTE je wewe ni
pacha wake? View attachment 1111939
Hiyo image ulio attach unamaniisha nn kama sio kupanik na kuanza kutukana. Sikudhan kama ww ungekua mtu wa jinsi hiyo. Unatakiwa utoe facts sio kukimbilia matusi kam yule jamaa anaejiita GENTAMYCINE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom