Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
- Thread starter
-
- #141
unamaanisha nn mkuu au ndo masa.. at work?Jerry Muro amshukuru sana balozi wa Marekani
pole sana jerry tht is bongo polce for youhatimaye Mwandish wa habari Jeri Muro ameachiwa huru.mwandishi huyo aliyekuwa anafanya kazi TBC alikuwa anakabiliwa na kesi ya kudai rushwa...
Acha urongo..kwani alikosa mudhamini??Dah! Pole sana Jerry..Karibu tena uraiani. Lakini naamini utakuwa umeshapata fundisho. Siyo kila mtu ni wa kuchezea ndani ya TZ hii
unamaanisha nn mkuu au ndo masa.. at work?
hana tena mvuto..baada ya kufukuzwa TBC alijiunga na Tumaini university..kuna mwalimu alimfukuza kama paka! Kila mtu tumaini alikuwa anamuona kichefuchefu.
Juzi juz hapa nimekutana naye maeneo ya Calabash na GX 100 yake, maskini kachooka. Nikamblock kwanza! Nilikuwa nasubiri alianzishe bahati nzur akawa mpoleee
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.
Acha mipasho sasa. Mimi siyo hakimu. Best judgement has been reached. Tumuache naye sasa awe huru. Mimi nimempa onyo tu! Aangalie pa kugusa, siyo kila mahali panafaa kugusa. Wanaoona wananyamaza siyo wajinga.hovyooooo........huna lolote wewe hapo ulipo...naona ulitamani sana afungwe ..hiloooooo..
Mwita stop lying Great Thinkers! iF One Door is Closed Anorther one is open!
Mwita stop lying Great Thinkers! iF One Door is Closed Anorther one is open!
hana tena mvuto..baada ya kufukuzwa TBC alijiunga na Tumaini university..kuna mwalimu alimfukuza kama paka! Kila mtu tumaini alikuwa anamuona kichefuchefu.
Juzi juz hapa nimekutana naye maeneo ya Calabash na GX 100 yake, maskini kachooka. Nikamblock kwanza! Nilikuwa nasubiri alianzishe bahati nzur akawa mpoleee
Mchezo mchafu alikuwa anakula tigo?endelea kudhani upo juu ya sheria kuna siku tutawachoma vijiti makalioni kama gadaffi.
kwa akili yako Jerry alikuwa anafanya mchezo mchafu???????????
Hujanielewa mamndenyi. Mimi huwa najitahidi kuwa makini sana. Siyo kila mahali napagusa. Nikiona maji marefu na siyawezi napotelea mbali. Ndio maana mimi nimempa ushauri kuwa na yeye asiwe anagusa pasipogusika!Rejao bado hujakua kweli,
siku yakikukuta ya jeri muro wewe tuseme unayosema utajisikiaje,
geuza shilingi.
Heheheee amepata kiwewe .....Aibu imekupata...lol wivu kama .......imekula kwako