Oscar Kimaro
Member
- Dec 30, 2009
- 13
- 0
hatimae!!! hii inadhihirisha nchi isiyo na uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari!!
obama alikuwa na jibu moja tu kwa wale ambao hawakuamini kuwa osama amekufa. Obama alisema ' you will never see osama walking on this planet again'. mimi nasema ' you will never see jerry muro employed again'
"Dah! Pole sana Jerry..Karibu tena uraiani. Lakini naamini utakuwa umeshapata fundisho. Siyo kila mtu ni wa kuchezea ndani ya TZ hii
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.
Huyu siyo mwandishi wa habari..hana hata certificate ya uandishi wa habari. Ameidhalilisha sana fani ya uandishi. Kazi ya uandishi ina ethics zake, nafikiri huyu angekuwa amehudhuria angalau kakozi chochote kingemfumbua macho na angekuwa anaifanya vizuri taaluma yake."
Acha kudumaza mawazo pevu na chanya kwenye ustawi wa nchi, kuachiwa huru kwa Jerry kwa mara nyingine tena inadhihirisha jinsi kiu ya haki na kweli haiwezi kushindwa kwa fitina, chuki na udhalimu wowote ule. Huu ni ushindi mkubwa kwa wachukia rushwa na aina yeyote ya udhalimu, na unyonyaji. Sidhani kama kuna fundisho lolote Jerry kalipata katika kutekeleza majukumu yake katika siku zijazo kama Investigative Journalist sana sana nafikiri kajiweka katika nafasi nzuri ya kufanya na International News Agencies ie BBC, Aljazeera, AFP, CNN etc. Hakuna untouchable under the sun. We should believe on what we are believing and no matter what happens we should keep moving!! So free advice change your attitude......you will see better future.
ths is gud news!
Hii habari haijakamilika............................
nimeishi sana Bagamoyo
Absolutely! so hata SEGERE unacheza?
ndoa+kufutiwa mashtaka=Furaha maradufu
I am an expert on that.
Wabongo hovyo sana, wanaambiwa kaachiwa huru, hawaamini? Yaani kwa kila kitu kila mtu anakuwa kama Yakobo, sijui kwa nini?