Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,533
Asingeshinda hii kesi ningekana uraia wa Tanzania.
Namsapoti kijana huyu...hongera zake Muro kwa kushinda kesi ya kupikwa....walio achiwa ni jerry muro, deogratias na edwin kapama. ni kwamba wameonekana hawana hatia katika kesi ya rushwa ya sh 10,000,000/-. Jerry kasema mapambano bado yanaendelea. kawashukuru viongozi wa dini zote. anasema kawasamehe wote walio panga kumuangamiza wakiwemo viongozi wake, polisi, serikali na wote walioshiriki katika kumuangamiza. anasema yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Kasema sasa kilichobaki ni kuchapa kazi kwa bidii na mapambano yanaendelea.source ITV. Mia
Tuhuma dhidi yake zimeshndwa kudhibitika.
Sasa ni wakati wake kujua ni nini atawafanyia hao waliomzushia kesi.
.......rejao anajua, nafikiri ni policcmKwani alimchezea nani?
Unaweza kutupa sababu mbili tatu za kuachiwa huru, such as ushahidi wa mashtaka hautoshelezi, hakuna ukweli wowote wa Jerry kuchukua rushwa etc?
Naukumbuka sana ule mjadala wa pingu, ukachagizwa na zile Picha za 'pingu za Sikonge'......
He is a fighter...
Huyu siyo mwandishi wa habari..hana hata certificate ya uandishi wa habari. Ameidhalilisha sana fani ya uandishi. Kazi ya uandishi ina ethics zake, nafikiri huyu angekuwa amehudhuria angalau kakozi chochote kingemfumbua macho na angekuwa anaifanya vizuri taaluma yake.
Kwani hii thread inamuhusu nani? Hivi unafikiri Havard ni kila mtu anaenda kujisomea tu?"HUYU" unamaanisha J. Muro au???]]]] au ?????]]]]]
kwani kama sikosei kabla ya kuajiriwa TBCCM1 alikwenda kula nondo USA nafikiri Havard ila sikumbuki vizuri sasa hivi kule alisoma nini?? wadau hebu nielewesheni jamani!!!
Rejao said:Huyu siyo mwandishi wa habari..hana hata certificate ya uandishi wa habari. Ameidhalilisha sana fani ya uandishi. Kazi ya uandishi ina ethics zake, nafikiri huyu angekuwa amehudhuria angalau kakozi chochote kingemfumbua macho na angekuwa anaifanya vizuri taaluma yake.
"HUYU" unamaanisha J. Muro au???]]]] au ?????]]]]]
kwani kama sikosei kabla ya kuajiriwa TBCCM1 alikwenda kula nondo USA nafikiri Havard ila sikumbuki vizuri sasa hivi kule alisoma nini?? wadau hebu nielewesheni jamani!!!
Jerry Muro amshukuru sana balozi wa Marekani
Hahaha... Sio mipasho bht ni ukweli halisi, afu kuna watu wanakerwa j muro kuachiwa lol, shame on them. Ndio kaachiwa sasa wajinyweshe tu 'vyumu'
"HUYU" unamaanisha J. Muro au???]]]] au ?????]]]]]
kwani kama sikosei kabla ya kuajiriwa TBCCM1 alikwenda kula nondo USA nafikiri Havard ila sikumbuki vizuri sasa hivi kule alisoma nini?? wadau hebu nielewesheni jamani!!!
Nile ban kwa kusema ukweli? Jerry hajasomea fani ya uandishi.
amepata fundisho la kuonewa?? au amepata fundisho kuwa hatakiwi kufichua uozo uliojaa kwenye jeshi la polisi?? wewe mara nyingi unapost ushabiki na sio reality!! ni heri kwako kama uatafungiwa jiwe la kusaga shingoni na kutoswa baharini!! huyu ni shujaa amepigania haki yake hadi imepatikana karibu kamanda endelea kufichua uozo usijali kwenye ukweli uongo hujitenga!!!!Dah! Pole sana Jerry..Karibu tena uraiani. Lakini naamini utakuwa umeshapata fundisho. Siyo kila mtu ni wa kuchezea ndani ya TZ hii