Hii habari haijakamilika............................
Huyu siyo mwandishi wa habari..hana hata certificate ya uandishi wa habari. Ameidhalilisha sana fani ya uandishi. Kazi ya uandishi ina ethics zake, nafikiri huyu angekuwa amehudhuria angalau kakozi chochote kingemfumbua macho na angekuwa anaifanya vizuri taaluma yake.
Nile ban kwa kusema ukweli? Jerry hajasomea fani ya uandishi.Ningekuwa mods ungekula ban ya maisha wallahi
kwa jinsi ilvyokuwa inaonekana nadhan hakuwa bado ni mwajiriwa wa TBC. Hata mwenendo wa kesi yake haukuwa unaripotiwa tbc. ITV ndo walikuwa wanairipot mara kwa mara.
Sheria za nchi zinasema ukishashtakiwa mahakamani hutakiwi kuajiriwa tena na kampuni yoyote ile. Huyu Jerry Murro imekula kwake moja kwa moja.
To me it does not sound any good! I wanted Jerry Muro to be jailed so he can learn to distance himself from untouchables.
Wana jamvi kwa mwenye taarifa za hukumu ya Jeri Muro atujuze kwani nimeisikia juu juu tu
duh kumbe kaifanya vizuri kuliko waliosomea!Huyu siyo mwandishi wa habari..hana hata certificate ya uandishi wa habari. Ameidhalilisha sana fani ya uandishi. Kazi ya uandishi ina ethics zake, nafikiri huyu angekuwa amehudhuria angalau kakozi chochote kingemfumbua macho na angekuwa anaifanya vizuri taaluma yake.