Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,718
hizo bank zinatoa wapi pesa ya kuikopesha serikali na zikishaikopesha wananchi watakopa wapiMuhadhiri wa chuo kikuu cha Dar - es salaam, Dr. Joel Silas ameelezea matumaini yake kuwa mpango wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha zilizoadimika mitaani kwa sasa hatimaye .
Kwamba hatua hiyo itarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu itasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha kwenye uchumi .
Chanzo - Nipashe .
Mytake - Elimu ni ufunguo wa maisha .
