Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mkuu kweli ila jiulize wakikopa inaenda mtaani ?Hakuna nchi isiyokopa duniani
Mkuu kweli ila jiulize wakikopa inaenda mtaani ?Hakuna nchi isiyokopa duniani
Ha! Ha! Ha! Udsm ina historia ndefu sana .Daaah kumbe udsm ina wasomi wa hovyo hovyo namna hii!? Mungu ibariki tz
Mkuu hizi habari siyo za kuaminika sana!Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar - es salaam, Dr. Joel Silas ameelezea matumaini yake kuwa mpango wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha zilizoadimika mitaani kwa sasa hatimaye .
Kwamba hatua hiyo itarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu itasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha kwenye uchumi .
Chanzo - Nipashe .
Mytake - Elimu ni ufunguo wa maisha .
Inategemea serikali inakwenda kulipa kina nani na hizo pesa. Kama watalipwa wakandarasi ni dhahiri mzunguko hautakuwepo kwani wanufaika ni wachache sasa na pengine pesa nyingine zitahama kwa maana ya manunuzi ya kutoka nje ya nchi.Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar - es salaam, Dr. Joel Silas ameelezea matumaini yake kuwa mpango wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha zilizoadimika mitaani kwa sasa hatimaye .
Kwamba hatua hiyo itarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu itasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha kwenye uchumi .
Chanzo - Nipashe .
Mytake - Elimu ni ufunguo wa maisha .
Nimeileta kama ilivyo , binafsi sijawahi kuamini ccm katika mpango wowote .Mkuu hizi habari siyo za kuaminika sana!
Mimi sio mchumiMkuu kweli ila jiulize wakikopa inaenda mtaani ?
Hat mi sio mchumi ila ninacho jua wangesema serikali imeanza kutekeleza baadhi ya miradi ndo hela hurudi mtaani maana sehemu panapo fanyika mradi ajira mbalimbali huanza kupatikana na ndo hela za mtaani zinavyo anza kupatikanaMimi sio mchumi
Ngoja mchumi aje kukujubu am outHat mi sio mchumi ila ninacho jua wangesema serikali imeanza kutekeleza baadhi ya miradi ndo hela hurudi mtaani maana sehemu panapo fanyika mradi ajira mbalimbali huanza kupatikana na ndo hela za mtaani zinavyo anza kupatikana
Tumenunulia Bombardier Q400 Cash!!!!!!!!!!Serikali hii iliyoficha hela zake BOT imeanza kukopa tena kwenye mabenki binafsi? BOT kumekauka? Hii nayo kali
Mwambieni amechelewa sana....mtihani ulikuwa saa moja kamili asubuhi ...yy...amekuja saa saba mchanaAnatafuta kuteuliwa
TuwasubiriNgoja mchumi aje kukujubu am out
We nae usikurupuke kujibu, umeelewa wanachodai? watu wanachokataa ni hayo maelezo ya huyo prof wa UDSM hayana uhalisia.Hakuna nchi isiyokopa duniani
Sio kila Mhadhiri ana akili sawasawa.
Kukopa kwa serikali kwenye Bank za ndani kunarudisha vipi pesa kwenye mzunguko??
Kila mwezi serikali inakusanya (kama ambavyo wamekuwa wakituaminisha) 1Tril +, kwanini kwa kipindi chote hicho hizi zisitumike kurudisha pesa kwenye mzunguko??
Naona huyu Mhadhiri anatafuta kuteuliwa, maana wateule wengi siku Hizi ni wahadhiri.