Haishangazi kuona wahitimu wenye kiwango cha chini wakiongezeka kama wahadhiri wenyewe ndio wenye uelewa huu!Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar - es salaam, Dr. Joel Silas ameelezea matumaini yake kuwa mpango wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha zilizoadimika mitaani kwa sasa hatimaye .
Kwamba hatua hiyo itarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu itasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha kwenye uchumi .
Chanzo - Nipashe .
Mytake - Elimu ni ufunguo wa maisha .