Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Uliyemtaja wa kwanza sasa anaumwa,
ina maana orodha itaendelea au itaishia hapo hapo kwa Asprin.

Najua hii sio habari njema kwa baadhi ya watu ila habari ndio hiyo!
Onyo kwa wafuatao: Asprin Kaizer BAGAH Nicas Mtei Bishanga Young Master Judgement Smiling Saint platozoom @sobhuza Katavi Ruhazwe JR junior.cux Baba V The Boss TANMO mtu chake @Figga Nigga Saint Ivuga
Naomba msiingie anga zangu....Ntawamaliza
N.B Changu ni Changu Chako ni Changu full stop

Nanyinyi BADILI TABIA sweetlady cacico Remmy Erotica Kipipi Kongosho Cantalisia Kaunga Mwali phina Yummy YNNAH Roulette charminglady Zinduna The secretary Mamndenyi afrodenzi FirstLady1 Madame B CUTE Preta beibe nasty Smile
Onyo:Umbea na majungu sitaki kusikia wala kugombea wanaume,labda mnigombee mimi tu!
Salamu kwa bibie Amyner msaidizi wangu wa kudunga Ban kwa watukutu wa Chit Chat
 
Darling hubby, my sweet potato Mr Rocky nimekuja,siunajua tena baby Tuli akianza usumbufu wake ananikosesha amani kabisa.......

Huyu Erickb52 asitake kutuvunjia unyumba kwanza kabla hajaanza kuvamia anga za watu awe anaulizia nani mmiliki alaaah

Achana na vitisho vya Erickb52 bana
Mkwara mwingi halafu anaishia kupiga chabo tuu
Wenye mali wanaendelea na libeneke
Njoo my wife wangu Yummy tujipe raha
Tuli atakula baadae bana hana njaa
 
TANMO na mimi wamenifungia,
Ninamtafuta Zinduna aandae ile ngoma tuliomchezea Bishanga
wiki iliyopita labda ndo watasikia.

Wee Mod, hebu nifungulieni Jukwaa la Wakubwa Haraka sana.. Tangu jana silioni.
Isijekuwa huto tupicha tumewadanganya mkafikiri mimi ni anda eji... Ebo!!
 
unajua mie sijui kuacha?
nikimchukua moja kwa moja usilie
I love you my sweetie BADILI TABIA. Na kuonyesha kuwa penzi langu kwako si la kubabaisha, nshanunua kabisa hii makitu.... Come this way my wife material..... Wenye wivu wameze nini darlie?

nut-and-bolt-wedding-ring.jpg

Tafadhali pokea mabusu yangu toka moyoni. Najua kina Yummy, CUTE, Mamndenyi Kongosho my asali ya ODM, Erickb52, Kaizer na gfsonwin watakuwa wanatuonea wivu.

Msalimie pacha wako cacico, utaniruhusu naye nimmiminie haya mabusu?

26864135565910194215454.jpg
 
Najua hii sio habari njema kwa baadhi ya watu ila habari ndio hiyo!
Onyo kwa wafuatao: Asprin Kaizer BAGAH Nicas Mtei Bishanga Young Master Judgement Smiling Saint platozoom @sobhuza Katavi Ruhazwe JR junior.cux Baba V The Boss TANMO mtu chake @Figga Nigga Saint Ivuga
Naomba msiingie anga zangu....Ntawamaliza
N.B Changu ni Changu Chako ni Changu full stop

Nanyinyi BADILI TABIA sweetlady cacico Remmy Erotica Kipipi Kongosho Cantalisia Kaunga Mwali phina Yummy YNNAH Roulette charminglady Zinduna The secretary Mamndenyi afrodenzi FirstLady1 Madame B CUTE Preta beibe nasty Smile
Onyo:Umbea na majungu sitaki kusikia wala kugombea wanaume,labda mnigombee mimi tu!
Salamu kwa bibie Amyner msaidizi wangu wa kudunga Ban kwa watukutu wa Chit Chat
...Hongera mkuu..kwa kupata Umod..nitafute tugonge cheers. Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaa Asprin nimelipenda very Kissable
Lol full kuchafuana
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 wacha kujiuma uma kama una jeuri chukua hatua sio kusema mambo ya kiporo hapa
Huo umod sijui oumezawadia ili utishe nao watu
Mr Rocky tatizo kuna watu mnaniingilia sana namimi imenibidi niutafute Umod kwa udi na uvumba ili kujilinda na maharamia wa Mapenzi so kama unahitaji nikuachie Yummy we nambie ntakusamehe na ntakuachia tu kwa moyo mmoja ingawa inaniuma
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky tatizo kuna watu mnaniingilia sana namimi imenibidi niutafute Umod kwa udi na uvumba ili kujilinda na maharamia wa Mapenzi so kama unahitaji nikuachie Yummy we nambie ntakusamehe na ntakuachia tu kwa moyo mmoja ingawa inaniuma

Kumbe wakati wote ulikuw aunajifanya rafiki kumbe unamzungukia my wife wangu Yummy
Kwa taarifa yako Yummy ni my wife wangu na hutokaa umpate milele
Yummy my wife wangu my sweet potato hebu njoo pande hizi umuangalie Erickb52 anavyoongea mambo ya ajabu hapa
 
..sawa sawa kabisa..pamoja..kila la kheri katika jukumu lipya...lakini unatakiwa kuwa na sifa zipi za kuwa Mod.?@Erickb52
Mi ninazo ndio maana Invisible kanikubali sana tu sema bado hawajanipa lile bango la Moderator
In short niko kwenye probation
 
Kumbe wakati wote ulikuw aunajifanya rafiki kumbe unamzungukia my wife wangu Yummy
Kwa taarifa yako Yummy ni my wife wangu na hutokaa umpate milele
Yummy my wife wangu my sweet potato hebu njoo pande hizi umuangalie Erickb52 anavyoongea mambo ya ajabu hapa
Duh kweli ametuchanganya sana
Hapa akija Kaizer atakuambia ni wake na alikuwa nae jana siku nzima na akija babu Asprin pia atasema juzi alikuwa nae na Ijumaa hawa Kaizer na babu waligombana kisa Yummy
Sasa mimi sisemi kitu na najitoa rasmi naenda zangu kwa Erotica nikapate mambo mazito ya mahaba
 
Last edited by a moderator:
Mi ninazo ndio maana Invisible kanikubali sana tu sema bado hawajanipa lile bango la Moderator
In short niko kwenye probation

Sasa ndio ushakua aama bado mana kuna mtu nataka umpe ban ya maana yani life ban.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom