Naona halijui hilo :.....sasa ndio ajue na asikunyanyase .....umeshakula dinner ama bado?
Hahahahahaaaa Mr Rocky umejitahidi kujidefend lolKaizer najua ni wa kale huyo wala haiumi sana maana alimpiga kibuti cha nguvu
Babu alienda kwake "kutibiwa" maradhi ya tumbo Babu Asprin ana dawa moja hiyo matata sana
Wewe najua ulikuwa nae wakati unasoma shule ya vidudu kwa hiyo enzi zako hata kidude chako kilikuwa cha mtoto hakuna madhara na hata leo anasema wewe Erickb52 ni joka la kibisa halina madhara
Kwa sasa katulia kwangu sana na ndo maana hafurukuti wala haendi tena kwa akina Kaizer na Babu Asprin wala haji kwako Erickb52
Hapo kwenye bold sijaelewa Kongosho
Najua kuna vingi tu navimiss ila mtoto anakila kitu so hizo nyumba na magari hana muda navyo...Cute shikamooo
Nimekumiss wewe balaa kama mbu alivyomiss damu ya binadam
Hujambo
Achana na Erickb52 hana issue
Kwanza ile gari yake kaazima kwa Kaizer
na nyumba anayokaa ni ya Amyner
Kula kwake mpaka abangaize kwa Babu Asprin na Bishanga
Nguo anazovaa ameazima kwa The Boss
Njoo kwa wenye nazo upate raha
Hahahahaaa ila najua hata wewe hujaelewa na wengi tu hawataelewa lolHutakiwi uelewe mana ni mazungumzo baina ya kongosho na asprin......au kwakua unautaka huo umod ndio mana wataka kuelewa misamiati yote.....na kongosho kaweka ivo makusudi ili usielewe ww erick
Teh teh teh
Nimekula ma dia ila njaa haijaisha bado...
Niandalie ntakuja baadae kidogo eeeh
Love you! Mr Rocky upo?
Changa la macho hiloNajua kuna vingi tu navimiss ila mtoto anakila kitu so hizo nyumba na magari hana muda navyo...
Anachopata kwangu hajawahipata kwa mwanaume mwingine so hapa hata alale njaa haniachi...hata apande bodaboda mtoto kafa kaoza lol
Nimekula ma dia ila njaa haijaisha bado...
Niandalie ntakuja baadae kidogo eeeh
Love you! Mr Rocky upo?
Alikuwa na mimi labda weekend ileeeeee ya nyuma niliyokuwa na Yummy
Thats my girl.... nikununulie hii makitu kama shukrani?Hutakiwi uelewe mana ni mazungumzo baina ya kongosho na asprin......au kwakua unautaka huo umod ndio mana wataka kuelewa misamiati yote.....na kongosho kaweka ivo makusudi ili usielewe ww erick
Teh teh teh
Wala wivu sina hapo najua unapigwa changa la macho Erickb52
Niulize nikuambie alikokuwa weekend
Unataka kula nn mana sina kitu ndani .....ivo njoo na vitu alafu usisahau kuku rost na ndizi mana niko na rafiki zangu wa4 wanataka kukujua....nimesahau na kiti moto kilo 2....niwekee na vocha nataka nimpigie mama si unajua tena