Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Baelezee huyu bwana mdogo leo ni shughuli ya kumalizia ile mahari uliyokua unadaiwa na Kaizer





Ataishia kula kwa macho tu huyo,asikutie presha

Yummy najiweka pembeni naepusha msongamano!
Mola nijalieee......nipate mwenzangu na mie
Salamu kwa Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Umeumia kama amefika kwako THEBOSS
hesabu maumivu, yeye anatanguliza vijisenti
siyo maneno, sijui kama Amyner atakukumbuka tena, pole sana.

Hahahahaaa Mamndenyi huyu babu anaogopa sana kwa kuwa anajua anapenda sana kupita anga zangu kama alivyofanya The Boss kwa kipenzi changu Amyner eti anamconfort lol
 
Yummy hebu njoo muone Erickb52 huku anavyojililia
Amekosa kila kitu sasa sijui atarudi kwa nani aise



Pole sana Erickb52 na nafikiri CUTE nae karibuni atakutema
Amyner nae utamkosa hivi hivi
Wote wanaweza kunitosha ila Amyner ndo mambo yote Mr Rocky
Kufa na kuzikana
 
Last edited by a moderator:
kaka ukiwa mod... naenda kukusemea pale room 420....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom