Zilishaisha kalainika mwenyewe...
Akinizingua namla ban hata yeye
Natakari ulichonena kabla ya kufikisha kwa wazee 🙂
bado nauguza maumivu ya moyo.....
Siamini mume wangu anachonifanyia......
Nilijua wewe shosti wangu kumbe umenizunguka....
bado nauguza maumivu ya moyo.....
Siamini mume wangu anachonifanyia......
Nilijua wewe shosti wangu kumbe umenizunguka....