Nilikua wapi acha kuniharibia cv jaman khaa!
Siharibu Cv ila CV yako inajieleza yenyewe bila chenga CUTE
Nilikua wapi acha kuniharibia cv jaman khaa!
Thats my girl.... nikununulie hii makitu kama shukrani?
![]()
Sawa CUTE nakuja na maini uandae roast ya ukweli na juice ya maperaUnataka kula nn mana sina kitu ndani .....ivo njoo na vitu alafu usisahau kuku rost na ndizi mana niko na rafiki zangu wa4 wanataka kukujua....nimesahau na kiti moto kilo 2....niwekee na vocha nataka nimpigie mama si unajua tena
Tatizo limbwata lishaexpire hapa
Nimekunywa dawa ya kupoteza nguvu ya limbwata
Pole naona kisimu kimeingia maji kikazimika kabla hujakamilisha sentensi......... Kakojoe kiume basi au ukalale.Ujue umenitisha?
Nimerusha kisumu changu kwenye maji hadi.
Mi sitaki pressure we kama ulinipiga bao weekend basi ishakula kwangu ila hutapata nafasi tena kwanza namshangaa Yummy atakupendaje wewe wakati leo uko na CUTE kesho uko na Zinduna lolNdo maana Erickb52 nakuambia nitafute nikuambie siri
Alikokuwa weekend hii wakati amekuaga kuwa anaenda kumsalimia shangazi yake sijua anakaa kipawa sijui wapi
Ilikuwa ameenda kukazia dawa yake pale kilwa masoko
Erickb52 wasi wasi wangu ni kuwa wewe hutaki kukubali kuwa hapa kwa CUTE ni changa la macho
Pole naona kisimu kimeingia maji kikazimika kabla hujakamilisha sentensi......... Kakojoe kiume basi au ukalale.
![]()
Kuna mtu anachunwa hapa live bila chenga
CUTE mwambie asisahau na castle lite kama sita hivi
Na mwambie unataka baadae uende salon kutengeneza nywele zako
na ile perfume yako imeisha
Erickb52 upoooo
Yummy hana maneno huwa akiwa hayuko kwenye mood ananiruhusu niende zangu kwa akina CUTE
So wewe nenda taratibu ukikuta mkuki nje jua nipo na ukikuta kimya wewe endelea
Ila ujue kuwa mapochopocho na viwalo unavyovaa natoa pesa mimi kwa CUTE
Hahahahaaaa simwachii aisee lolErickb52 wasi wasi wangu ni kuwa wewe hutaki kukubali kuwa hapa kwa CUTE ni changa la macho
Hebu basi tukae pembeni tumuachie mtu chake aendeleze libeneke hapo
We kaa na Amyner na mimi nikae na Yummy wangu bana
Kwanza nampenda sana my wife wangu sweet potato Yummy
Siharibu Cv ila CV yako inajieleza yenyewe bila chenga CUTE