..ujue najua nyie wote ni washikaji zangu..ndio maana na mataka mrembo awape nafasi..ila mwenye SUMU atachukua mzigomtu chake umekuja kwenye hii league
au umeachwa na yule mrembo wako
CUTE najua anamchuna tuu Erickb52 na wala hajagungua kuwa anachunwa
Kwan mtu akija kwangu kuna shida gani au ndio unawaza tu mambo yako unafikiri watu wote wako ivo.....dont jugde ze book by its cover men
..ujue najua nyie wote ni washikaji zangu..ndio maana na mataka mrembo awape nafasi..ila mwenye SUMU atachukua mzigo
Cute shikamooo
Nimekumiss wewe balaa kama mbu alivyomiss damu ya binadam
Hujambo
Achana na Erickb52 hana issue
Kwanza ile gari yake kaazima kwa Kaizer
na nyumba anayokaa ni ya Amyner
Kula kwake mpaka abangaize kwa Babu Asprin na Bishanga
Nguo anazovaa ameazima kwa The Boss
Njoo kwa wenye nazo upate raha
Hii nimeipeda CUTE
Umepatia sana
Marahaba hujambo.....sasa ww unamipesa kiasi gani mana nilizonazo sizani ka tz hapo kuna mwenye nazo sasa sijui kitu gani bado unaweza nishawish nacho hapo....na kama nimapenz yalikua enz za mababu saivi hakuna tena mana mauongo yamezidi kua mengi sana ivo yalishaharibu maana ya mapenzi
Najua unajua na unaitaji kujua zaidi ivo ninakujuza zaidi na zaidi
..ujue najua nyie wote ni washikaji zangu..ndio maana na mataka mrembo awape nafasi..ila mwenye SUMU atachukua mzigo
sekyu so much
sijui nimepatia kiinglish
Teh teh teh unajikongoja.....ila mtoto mbishi sana ww jah!
CUTE tema mate chini
Muulize Yummy anapata mapenzi aina gani kutoka kwangu ndipo utasema
Yaani kuna watu wana mapenzi haswa hata kuzidi yale ya wazee wetu
Wala usitishike na hawa masharobaro akina mtu chake na Erickb52 wana mapenzi ya u know this u know that and my father is a millionaire na anaanza u know nadrive classic benz in town and my father blah blah
My mother anafanya kazi ubalozi wa marekani and my aunt ni mjumbe wa tume ya katiba u know
Sijaenda shule ila nina degree ya ubishi kutoka chuo cha ubishi tandale uzuri manzese
Hahhhahha unaleta za babu asprin za kua obama ni mjomba wake hhhha ooh mi sipendi wananilazimisha kwenda state kila bada ya wiki2
Ama kweli dunia ya leo imeharibiwa na vijana yote
Hahhahha ndio mana nilitaka nishangae brazamen gan mbish ivi
Pale chuo ukienda unatoka na degree yako bila chenga
halafu chuo kimesajiliwa marekani
hapa ni tawi tuu
Si ndio zao akina Erickb52 na mtu chake
yeye kila saa kujisifia yeye tuu
Mara mimi nishatembea nchi nyingi sana
State ni kama kijijini kwetu maana naenda kila wiki
Navaa nguo sijui za designer gani
Marra perfume yangu hapa town hakuna mwenye nayo
ahhh masharobaro bana