Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

Tawi lake laitwaje mana yaonesha kiko juu sana

Linaitwa the College of Ubishi and Umbeya
tandale Uzuri Cumpus
Ada ni dola za tandale laki Moja ambazo ni sawa na TZ money One Million
 
Wapi asprin aje aone mistari yake uku imeibiwa hhhhhahaha watu wanatunga mradi tu mtu aingie king

Hivi kumbe Babu Asprin nae ana hizi swagga
Duh ndo maana Kongosho haondoki pale
Anapenda sana hizi swagga
 
Hivi kumbe Babu Asprin nae ana hizi swagga
Duh ndo maana Kongosho haondoki pale
Anapenda sana hizi swagga

Hhahha kweli we ni mzee wakuunganisha matukio kha! Mi nimesema tu vile we umemaliza movie yote
 
Duh kweli ametuchanganya sana
Hapa akija Kaizer atakuambia ni wake na alikuwa nae jana siku nzima na akija babu Asprin pia atasema juzi alikuwa nae na Ijumaa hawa Kaizer na babu waligombana kisa Yummy
Sasa mimi sisemi kitu na najitoa rasmi naenda zangu kwa Erotica nikapate mambo mazito ya mahaba
Zinduna nakuomba jamani uje pande hizi huyu bwana mdogo Erickb52 ananivurugia ndoa yangu kabisaaa.......atasutwa u.chi huyu ohooooo.
Kwa taarifa yako - Kaizer ni baba yangu mdogo na Asprin ni mkaza mjomba(shhhhhhhhhhh,usikasirike kubali tu kimya kimya)
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wakati wote ulikuw aunajifanya rafiki kumbe unamzungukia my wife wangu Yummy
Kwa taarifa yako Yummy ni my wife wangu na hutokaa umpate milele
Yummy my wife wangu my sweet potato hebu njoo pande hizi umuangalie Erickb52 anavyoongea mambo ya ajabu hapa

Niko hapa mahabuba wangu,achana na huyu mchongaji yatamshinda siku si nyingi........
 
Zinduna nakuomba jamani uje pande hizi huyu bwana mdogo Erickb52 ananivurugia ndoa yangu kabisaaa.......atasutwa u.chi huyu ohooooo.
Kwa taarifa yako - Kaizer ni baba yangu mdogo na Asprin ni mkaza mjomba(shhhhhhhhhhh,usikasirike kubali tu kimya kimya)
Hehe umesahau kuwa mi ni b52 niliyeshika hatma ya uwepo wako chitchat ooh
Ukijaribu kunisuta ban ya wiki itakuhusu faster
 
Last edited by a moderator:
Niko hapa mahabuba wangu,achana na huyu mchongaji yatamshinda siku si nyingi........

My wife wangu Yummy njoo huku bana achana na Erickb52 mabomu yake yameingia maji hayalipuki
Njoo my sweet potato my kindergaten wangu (ooopppss hivi hiyo sio ya watoto kweli hiki kiinglish balaa) njoo hapa mahabuba wangu mti kasoro matunda ila maua debe
 
Hahahahaaaa CUTE mylove uko wapi? Hebu ukuje hapa tutoe ngoma droo na Mr Rocky
Naona anataka kunipa pressure wakati upo..Njoo mama wajue mi Yummy sio issue kwangu bali wewe!
Miss you my CUTE girl
 
Last edited by a moderator:
Halafu Yummy hizo PM unazozituma kwenda kwa Kaizer zitakuumbua ntakapoamua kuzianika laivu...
Angalia huyo Musee wako Mr Rocky asinywe nanii ya panya

Kaizer anatumiwa msg za kumtaka apitishe krate la castle lite hapa home maana leo kuna kukesha
Si unajua yeye ni supplier

Hahahahaaaa CUTE mylove uko wapi? Hebu ukuje hapa tutoe ngoma droo na Mr Rocky
Naona anataka kunipa pressure wakati upo..Njoo mama wajue mi Yummy sio issue kwangu bali wewe!
Miss you my CUTE girl

hakuna wivu hapo Erickb52
We endelea na CUTE wako sisi hapa tuko gado
mambo yanaendelea bana
Yummy hebu ongeza sauti ya redio jirani zetu hapa Erickb52 na CUTE wasisikilize mambo yetu bana maana naona Erickb52 anaanza chabo zake
 
My wife wangu Yummy njoo huku bana achana na Erickb52 mabomu yake yameingia maji hayalipuki
Njoo my sweet potato my kindergaten wangu (ooopppss hivi hiyo sio ya watoto kweli hiki kiinglish balaa) njoo hapa mahabuba wangu mti kasoro matunda ila maua debe

Switati unanikosha weyeee adi raha......
 
Kaizer anatumiwa msg za kumtaka apitishe krate la castle lite hapa home maana leo kuna kukesha
Si unajua yeye ni supplier

Baelezee huyu bwana mdogo leo ni shughuli ya kumalizia ile mahari uliyokua unadaiwa na Kaizer

hakuna wivu hapo Erickb52
We endelea na CUTE wako sisi hapa tuko gado
mambo yanaendelea bana
Yummy hebu ongeza sauti ya redio jirani zetu hapa Erickb52 na CUTE wasisikilize mambo yetu bana maana naona Erickb52 anaanza chabo zake

Ataishia kula kwa macho tu huyo,asikutie presha
 
Last edited by a moderator:
Switati unanikosha weyeee adi raha......

Wacha dear wangu si unajua tena mambo mswano
hapa Erickb52 atajinyonga

Jaribu uone ntakachokufanza.......kwanza leo inbox yangu imejaa PM za Kaizer tuuuuu zinahusu mahari aliyopokea kutoka kwa Mr Rocky

Mwambie Erickb52 asikie maana yeye anawaza tuu kuchunwa
Njoo my wife wangu Yummy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom