Hatimaye Diamond anunua Private Jet

wafanyabiashara wa Arusha wenyewe wanajiita mabilionea wameshamiliki. Ila ni hutu tundege tunaitwa Cessina tuna injini moja pale puani mbele. Kuna kandege kengine kalimwua bilionea Bob sambeke hukohuko kaskazini.
Matajiri wa Arusha hasa Tanzanite dealers kumiliki private jet baadhi wamezimiliki kwa miaka mingi tu, si mambo yaliyoanza leo wala jana.
 
Sawa kabisa,jet si ata ungo wa kupaa usiku unaweza ita jet.kama ni huo Mondi anao uwezo wa kumiliki ungo wa kupaa usiku ila sio Jet kwa maana ya ndege.
 
Msanii mkubwa lazima aji-brand na mbinu mojawapo ni kumiliki mali za kifahari nakuishi kifahari, mfano kutembelea sports car ya bei mbaya ama Rolls Royce, kuishi mtaa wa kishua kwenye jumba la kisasa la bei mbaya n.k.
Namshauri huyu msanii wetu mkubwa akanunue nyumba kule Fumba estate tena zile za sea view zinazotazamana na bahari kabisa avute sports car moja makini itamuweka pazuri sana kwe anga za ki-supa staa
images (53).jpeg

images (55).jpeg

images (54).jpeg
 
Mfano huyu ni fally ipupa. Amenunua nyumba kwenye estate project mpya Kama hiyo ya Fumba kule Kinshasa inaitwa Cité du Fleuve, nyumba yake inatazamana na mto kabisa (kilichotenganisha mto na nyumba ni barabara). kwa mujibu wa DW ameinunua kwa € 600,000 sawa na shilingi 1,693,166,874.00 za kitanzania, hapo yuko na ferari yake anakula misele ameenda kuwaonyesha waandishi wa DW hiyo nyumba yake
images (45).jpeg

Ukimuona anavyoichapa hiyo machine, anavyoelezea nyumba yake, anawatoa masela dola kadhaa hapo wanamshangilia tu mda wote

clip nzima hii apa

images (65).jpeg

images (64).jpeg

images (62).jpeg

images (63).jpeg

images (58).jpeg

images (59).jpeg

images (60).jpeg

images (66).jpeg

images (61).jpeg


Cite du Fleuve projection
images (68).jpeg

images (67).jpeg

images (69).jpeg

images (70).jpeg

images (71).jpeg

images (73).jpeg

images (72).jpeg


images (67).jpeg


images (63).jpeg
 
Huyo jamaa yenu ananunua magari used from bongo hata yale ma vx yake yote ka face-lift, anataka atajwe na forbes... Diamond ni fraud
Mtoto wa tandale anazingua sana, anajua kuwavimbia mafala
V8 ya zawadi na menejimenti nkajua tu tayari mzigo umepigwa sopsop gereji, ile beamer nayo mkweche kauziwa na mbongo mmoja, prado nayo daa! Mchizi hajawahi agiza kitu kutoka Japs ata, anakamatishwa na wahuni wa hapahapa twn. Ofisi ya WCB mbezi ni mjengo wa kusaga if I'm not mistaken, hiyo anayoishi amepanga. Wanampelekapeleka Kama kitenesi,mapafyum ya kusaga, makaranga ya wahindi ila Vichwa maji wanajua staa wao bilionea 😂😂😂 m*f*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom