Hatimaye Diamond anunua Private Jet

Wild Boy

JF-Expert Member
Jun 6, 2015
697
1,000
Mfano huyu ni fally ipupa. Amenunua nyumba kwenye estate project mpya Kama hiyo ya Fumba kule Kinshasa inaitwa Cité du Fleuve, nyumba yake inatazamana na mto kabisa (kilichotenganisha mto na nyumba ni barabara). kwa mujibu wa DW ameinunua kwa € 600,000 sawa na shilingi 1,693,166,874.00 za kitanzania, hapo yuko na ferari yake anakula misele ameenda kuwaonyesha waandishi wa DW hiyo nyumba yake
images (45).jpeg

Ukimuona anavyoichapa hiyo machine, anavyoelezea nyumba yake, anawatoa masela dola kadhaa hapo wanamshangilia tu mda wote

clip nzima hii apa

images (65).jpeg

images (64).jpeg

images (62).jpeg

images (63).jpeg

images (58).jpeg

images (59).jpeg

images (60).jpeg

images (66).jpeg

images (61).jpeg

Cite du Fleuve projection
images (68).jpeg

images (67).jpeg

images (69).jpeg

images (70).jpeg

images (71).jpeg

images (73).jpeg

images (72).jpeg

images (67).jpeg

images (63).jpeg
 
Wild Boy

JF-Expert Member
Jun 6, 2015
697
1,000
Huyo jamaa yenu ananunua magari used from bongo hata yale ma vx yake yote ka face-lift, anataka atajwe na forbes... Diamond ni fraud
Mtoto wa tandale anazingua sana, anajua kuwavimbia mafala
V8 ya zawadi na menejimenti nkajua tu tayari mzigo umepigwa sopsop gereji, ile beamer nayo mkweche kauziwa na mbongo mmoja, prado nayo daa! Mchizi hajawahi agiza kitu kutoka Japs ata, anakamatishwa na wahuni wa hapahapa twn. Ofisi ya WCB mbezi ni mjengo wa kusaga if I'm not mistaken, hiyo anayoishi amepanga. Wanampelekapeleka Kama kitenesi,mapafyum ya kusaga, makaranga ya wahindi ila Vichwa maji wanajua staa wao bilionea 😂😂😂 m*f*
 
Punda wa Dobi

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
521
250
Diamond ametimiza ndoto yake ya kuwa na ndege binafsi.

Anakuwa msanii wa pili Africa kuwa na private jet.

Mdogo mdogo watakubali tu level za Diamond ni kubwa sana kwa sasa.

Kuna swali naona linaulizwa sana huko insta eti anawezaje kumiliki Jet wakati amepanga nyumba....Soon mtajibiwa kwa vitendo, inaweza ikawa ni kitu kikubwa kuwai tokea Africa nzima. 😊😊😊
View attachment 1762066 View attachment 1762065
Toa takataka hizi kenge wewe
 
kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
3,565
2,000
Mtoto wa tandale anazingua sana, anajua kuwavimbia mafala
V8 ya zawadi na menejimenti nkajua tu tayari mzigo umepigwa sopsop gereji, ile beamer nayo mkweche kauziwa na mbongo mmoja, prado nayo daa! Mchizi hajawahi agiza kitu kutoka Japs ata, anakamatishwa na wahuni wa hapahapa twn. Ofisi ya WCB mbezi ni mjengo wa kusaga if I'm not mistaken, hiyo anayoishi amepanga. Wanampelekapeleka Kama kitenesi,mapafyum ya kusaga, makaranga ya wahindi ila Vichwa maji wanajua staa wao bilionea m*f*
usisahau kawavimbia had Forbes tak.o yule
 
Mbuna Senior

Member
Aug 2, 2016
38
125
Naweza kukubaliana nawe
Huyu ni tapeli tu anapenda kwenda na akili za watanzania wengi kila akisema kitu watu wanashabikia lakini hakuna ukweli wowote. Hana utajiri wowote yote ni madrama tu anapenda kuendesha maisha kwa kiki tu sio maisha halisi. Watanzania lazima tuelewe kuna maisha halisi na maisha ya mtandaoni na nawakikishia kuwa ukijua maisha halisi ya wasanii wengi utatamani kuwachapa bakola pumbavuuuuuuuuuu zao.
 
Cc Pinye

Senior Member
May 31, 2021
158
250
Msanii mkubwa lazima aji-brand na mbinu mojawapo ni kumiliki mali za kifahari nakuishi kifahari, mfano kutembelea sports car ya bei mbaya ama Rolls Royce, kuishi mtaa wa kishua kwenye jumba la kisasa la bei mbaya n.k.
Namshauri huyu msanii wetu mkubwa akanunue nyumba kule Fumba estate tena zile za sea view zinazotazamana na bahari kabisa avute sports car moja makini itamuweka pazuri sana kwe anga za ki-supa staa
View attachment 1814748
View attachment 1814749
View attachment 1814750
Nyumba moja hapo Bei gani mkuu?
#Singapore
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
59,043
2,000
Diamond ametimiza ndoto yake ya kuwa na ndege binafsi.

Anakuwa msanii wa pili Africa kuwa na private jet.

Mdogo mdogo watakubali tu level za Diamond ni kubwa sana kwa sasa.

Kuna swali naona linaulizwa sana huko insta eti anawezaje kumiliki Jet wakati amepanga nyumba....Soon mtajibiwa kwa vitendo, inaweza ikawa ni kitu kikubwa kuwai tokea Africa nzima. 😊😊😊
View attachment 1762066 View attachment 1762065
Naomba registration number ya hiyo ndege
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
41,315
2,000
Mtoto wa tandale anazingua sana, anajua kuwavimbia mafala
V8 ya zawadi na menejimenti nkajua tu tayari mzigo umepigwa sopsop gereji, ile beamer nayo mkweche kauziwa na mbongo mmoja, prado nayo daa! Mchizi hajawahi agiza kitu kutoka Japs ata, anakamatishwa na wahuni wa hapahapa twn. Ofisi ya WCB mbezi ni mjengo wa kusaga if I'm not mistaken, hiyo anayoishi amepanga. Wanampelekapeleka Kama kitenesi,mapafyum ya kusaga, makaranga ya wahindi ila Vichwa maji wanajua staa wao bilionea 😂😂😂 m*f*

Ndio msanii wa kwanza bilionea wa forbes kumiliki nyumba yenye kiwanja kama kiganja cha mkono na anaishi kwenye nyumba ya kupanga huku akimiliki houses kwenye slum areas.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom