Hatimaye Boss kaoa

Sasa hao 100 uliowachezea karma yao lazima ulipe don’t think you can get away with everything
Hoops mtu aneshindwa kula analia kila usiku kwasababu yako utalipa tu tena hapa hapa duniani either kwako Au Liza I chako mpk utubu
Those were my options dear, I'm not part of them

As I have said earlier, Men are there outside waiting for a Wife material, can be you, if you change.

Babu yenu nimekaa pale nasubiria mniletee Wajukuu wa kucheza nao 🤗

Wishing you all the best
 
Alikuchezeaje kwanza,na huo muda aliokupotezea ukiwa wapi?
 
Kakubakishia marinda yako kweli?
 
Ebu njoo PM tuone nini cha kufanya😋
 
Ndio tatizo la mapenzi kazini, sasa Wala hautafanya kazi kwa raha
 
Na bado atakuomba radhi utaelewa tu na ataendelea kukugonga kama kawaida. Sasa hv anasubiria upepo utulie tu. Time Will tell. Utakua mchepuko wake pro-max
 
pole sana ila kaa ujue kuwa wanaume hatuoi kwa factor moja peke yake ya uzuri coz uzuri unaweza ukapotea at any time,tunaangalia ni vigezo vingine ,muhimu kwako kwa sasa ni muombe mungu akupe subra na utapata wa kwako ambae nae atakuja kukuoa ila usilazimishe awe boss kila mtu amepangiwa na mungu wa kuendana nae
 
Pole sana, tulia na tuliza akili usifanye papara kutafuta mwingine utaangukia gharasa lingine, muombe Mungu akukutanishe na aliye sahihi mpaka ukute kukutana na huyo chotampira
 
You are so bitter. Namuelewa jamaa kwakweli. He made the right choice. Hakukuchezea, uliuchezea mwili wako wewe mwenyewe. Nakupa hii, ukiamua utameza au kutema, shaurilo.
You are bitter, full of vengeance, huna hekima, unaringia uzuri ushubwada, roho yako nyeusi sana, umejaa maigizo.

Nani kakwambia duniani hamna rejections. Kila siku tunaface rejections mia elfu na bado tunamooove. Hutaki kugrow-up, unatema sumu kwa kila mtu kwani tulikutuma kuja kuyaanika humu. Step up your game miss. Amekukataa, jirekebishe afu jifunze kutuliza nyau ili next time usiumie.

Umemlaani sana kaka wa watu, na mimi nazifuta hizo laana kwa Damu ya Yesu. Ndoa yake itabarikiwa, atalitumikia shauri la Mungu, atafanikiwa yeye na uzao wake, atakuwa kinara maisha yote. Angekua kaka yako anatamkiwa hivyo ungefurahi? Usijidide dii...husda si nzuri kwa mwanamke, zaidi utaonekana mwanga tu. Wanaume kazi mnayo kama wanawake ndo hawa!!!
 
Asante mama Rose Shaboka...🤣🤣🤣
 
Chakula ya wahuni kitulize.

.........Malaya kazi yenu ni kutumika sio kuolewa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…