hahahah nakushauri kazi hii ungeanzia kwenye vyama.vyetu kabla kwenda bungeni/serikalimsijifanye hamnazo,trilioni 1.5 mlizokula mtazitoa popote penye uwaz

hii ni written diarrheamsijifanye hamnazo,trilioni 1.5 mlizokula mtazitoa popote penye uwaz
Na huo ndio ukweli, logic ni kitu kizuri sana kamaHoja za kipuuzi puuzi!Kwa hiyo kama bunge ni kweli ni dhaifu na raisi ni sehemu ya hilo bunge ina maana ukweli usisemwe??!
Hati ya mashtaka ya kijinga
NDIO MAANA KWENYE KATIBA WAMESEMA LAZIMA IBARA NDOGO YA (4) ITUMIKE ILI HUYO CAG AFUKUZWE KAZI...View attachment 1072282
Magazeti ya leo yamemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akitaja mashtaka yanayomkabili CAG Assad. Ni kama ametaja hati ya mashtaka yenye tuhuma mbili, kama ifuatavyo:
JOB NDUGAI,PROFESA ASSAD,
SPIKA WA BUNGE,
OFISI YA SPIKA,
DODOMA.
14 APRIL 2019.
CAG WA TANZANIA,
DODOMA.
YAH: WITO WA AMA KUJIUZULU AU KUJIELEZA KWA NINI USIADHIBIWE NA MWAJIRI WAKO
Somo hapo juu lahusika.
Unapatiwa taarifa kwamba, unakabiliwa na tuhuma mbili nzito zifuatazo.
Tuhuma ya kwanza: Huku ukijua kwamba, Bunge ni taasisi inayojumuisha Wabunge, Mawaziri na Rais, ambapo Rais ndiye mwajiri na mteuzi wa CAG; na ukiwa unaelewa kwamba, Hati ya Majukumu ya CAG haisemi kuwa kutathmini utendaji wa taasisi ya Bunge ni kazi mojawapo ya CAG, ulichukua hatua ya kufanya tathmini ya utendaji wa Bunge; na hivyo, kumdharau mteuzi wako kwa kufanya kazi iliyo nje ya majukumu yako uliyokabidhiwa rasmi. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.
Tuhuma ya pili: Huku ukijua kwamba, wewe sio msemaji wa ofisi inayohusika na kutathmini utendaji wa Bunge; alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu kwa mujibu wa tathmini yako; na hivyo kutumia utaratibu wa mawasiliano unaolidhalilisha Bunge mbele ya wapiga kura na Jumuiya ya Kimataifa. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.
Wito: Hivyo, ndani ya masaa 48 baada ya kupata barua hii, unatakiwa kujitokeza mbele ya Mteuzi wako na kufanya mojawapo kati ya mawili kwa mdomo na kwa maandishi:
(a) ama kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha;
(b) au kujiuzulu mara moja kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha.
Katika kutekeleza wito huu unashauriwa kusoma kwa makini ibara ya 144 ya Katiba ya Tanzania (1977) inayosema yafuatayo:
“144. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tu kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake (ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote) au kwa sababu ya tabia mbaya, au kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na hataweza kuondolewa kazini ila kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara hii. (3) (a) Iwapo Rais anaona kwamba suala la kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu kwa mujibu wa masharti ya ibara hii lahitaji kuchunguzwa, basi … atateua Tume Maalum… (4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini."
Uelewa wangu kama Spika ni kwamba, kulingana na uzito wa kosa ulilolifanya, suala la kukuondoa kazini kwa mujibu wa masharti ya Katiba yetu halihitaji kuchunguzwa, na kwa hiyo hakuna sababu ya Rais kuteua Tume Maalum.
Wako katika ujenzi wa Taifa,
Job Ndugai,
Spika wa Bunge Tanzania.
Kwa sababu Tuhuma ya Pili imejengwa kutokana na kauli ya uongo ,"..alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu.....". Hapa hakuna mashtaka ya kujibu.View attachment 1072282

No usisemwe mkuu. Unatakiwa uwe mnafiki ili ufyonze mvinyo taratibuHoja za kipuuzi puuzi!Kwa hiyo kama bunge ni kweli ni dhaifu na raisi ni sehemu ya hilo bunge ina maana ukweli usisemwe??!
Kweli jina linaumba. Kwahiyo CAG hata akiwa nje ya nchi akitekeleza majukumu yake ya kazi Hapaswi kuusema Ukweli!Kazi ya CAG ni kusema ukweli nje ya nchi au kukagua na kutuletea ripoti yenye mapendekezo?
Taratibu za kijeshi unazijua mkuu?Hapana na hapo ndio tunakosea kabisa
Sio kila swali ajibu mkubwa tu
Hapo nilitoa mfano tu kwa askari lakini hebu fatilia matukio duniani yanapotokea na waandishi wa habari huwa wanawauliza kina nani kama tukio likitokea au jambo kubwa
Watatafutwa mpaka wastaafu na kuulizwa
Na huwezi kukuta anasema mimi sio msemaji
Kuna mambo mengi ambayo hayahitaji mhisika kuyajibu hata wewe unaweza kujibu kama upo katika taaluma hiyo na unajua kinachoendelea Upo mpaka hapo
Yaani mpira umeisha anaulizwa mchezaji swali halafu anaogopa kujibu na kusema MIMI SIO MSEMAJI sasa hata mpira uliocheza wewe unashindwa kujibu
Ukweli ni kwamba hatunaga majibu pindi tunapoulizwa swali kwa kutokujiamini hiyo confidence watu hawana
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Watu wakiwa madarakani Huwa wanashindwa kusoma Nyakati,kwa namna yeyote ile Ndugai mwakani hapati uspika hata iweje,Najua Ndungai amebakiza miezi 8 kuondoka ofisini
2020 tulidhani ni mbali sana
Kumbe uchaguzi umefika????
Duh
sasa kurudi bungeni itategemea huruma za wananchi wake
Japo nao wanashangaa coz hawakumtuma aende bungeni kuanzisha vita na CAG
Hiyo nayo ni tabia mbaya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Assad awekwe Pembeni ili Nduu awekwe kati au??Kwani Assad akiwekwa pembeni wizi hauwezi kujadiliwa?
Maadili gani, wezi tu nyieLa kukiuka maadili ya uongozi
Mmtoeni tu mnazunguka zunguka nini? Mtoeni tu siyo mara ajiuzulu mara akajieleze,mbona Nape alitolewa fasta tuLa kukiuka maadili ya uongozi
hwa na amini kwamba mtu anayeitwa JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI ana mattizo mengi mno kichwani na uelewa wake juu ya mambo yanayomzunguka ni mdogo sanaKazi ya kuidhinisha matumizi ya fedha za umma ni za jiwe? Jiwe amechukua kazi za bunge.