Hati ya Mashtaka dhidi ya CAG Assad: Anachomokaje?

Status
Not open for further replies.
Mama Amon

Mama Amon

Senior Member
Joined
Mar 30, 2018
Messages
178
Points
500
Mama Amon

Mama Amon

Senior Member
Joined Mar 30, 2018
178 500
KANUSHO;

======

UPDSTES: 16 April 2019

Taarifa hii hapa chini imekanushwa. Ofisi ya Bunge imekanusha kuwa Spika Job Ndugai hajaandika barua inayotoa wito kwa CAG, Prof. Mussa Assad kujiuzulu ama kujieleza kwa mwajiri wake kwanini asiadhibiwe. Ofisi hiyo imewatahadharisha wananchi dhidi ya uzushi huo ikisema, ufafanuzi wa azimio dhidi ya CAG ulishatolewa.zaidi soma1555350169028-png.1072282

Magazeti ya leo yamemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akitaja mashtaka yanayomkabili CAG Assad. Ni kama ametaja hati ya mashtaka yenye tuhuma mbili, kama ifuatavyo:

JOB NDUGAI,
SPIKA WA BUNGE,
OFISI YA SPIKA,
DODOMA.

14 APRIL 2019.

PROFESA ASSAD,
CAG WA TANZANIA,
DODOMA.

YAH: WITO WA AMA KUJIUZULU AU KUJIELEZA KWA NINI USIADHIBIWE NA MWAJIRI WAKO

Somo hapo juu lahusika.

Unapatiwa taarifa kwamba, unakabiliwa na tuhuma mbili nzito zifuatazo.

Tuhuma ya kwanza: Huku ukijua kwamba, Bunge ni taasisi inayojumuisha Wabunge, Mawaziri na Rais, ambapo Rais ndiye mwajiri na mteuzi wa CAG; na ukiwa unaelewa kwamba, Hati ya Majukumu ya CAG haisemi kuwa kutathmini utendaji wa taasisi ya Bunge ni kazi mojawapo ya CAG, ulichukua hatua ya kufanya tathmini ya utendaji wa Bunge; na hivyo, kumdharau mteuzi wako kwa kufanya kazi iliyo nje ya majukumu yako uliyokabidhiwa rasmi. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.

Tuhuma ya pili:
Huku ukijua kwamba, wewe sio msemaji wa ofisi inayohusika na kutathmini utendaji wa Bunge; alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu kwa mujibu wa tathmini yako; na hivyo kutumia utaratibu wa mawasiliano unaolidhalilisha Bunge mbele ya wapiga kura na Jumuiya ya Kimataifa. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.

Wito: Hivyo, ndani ya masaa 48 baada ya kupata barua hii, unatakiwa kujitokeza mbele ya Mteuzi wako na kufanya mojawapo kati ya mawili kwa mdomo na kwa maandishi:

(a) ama kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha;

(b) au kujiuzulu mara moja kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha.

Katika kutekeleza wito huu unashauriwa kusoma kwa makini ibara ya 144 ya Katiba ya Tanzania (1977) inayosema yafuatayo:

“144. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tu kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake (ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote) au kwa sababu ya tabia mbaya, au kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na hataweza kuondolewa kazini ila kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara hii. (3) (a) Iwapo Rais anaona kwamba suala la kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu kwa mujibu wa masharti ya ibara hii lahitaji kuchunguzwa, basi … atateua Tume Maalum… (4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini."

Uelewa wangu kama Spika ni kwamba, kulingana na uzito wa kosa ulilolifanya, na kwa kuwa umekubalia makosa yako hadharani mchana kweupe, mbele ya waandishi wa habari, suala la kukuondoa kazini kwa mujibu wa masharti ya Katiba yetu halihitaji tena kuchunguzwa, na kwa hiyo hakuna sababu ya Rais kuteua Tume Maalum.

Wako katika ujenzi wa Taifa,

Job Ndugai,
Spika wa Bunge Tanzania.
 
S A Ngolilo

S A Ngolilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
1,163
Points
2,000
S A Ngolilo

S A Ngolilo

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
1,163 2,000
View attachment 1072282

Magazeti ya leo yamemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akitaja mashtaka yanayomkabili CAG Assad. Ni kama ametaja hati ya mashtaka yenye tuhuma mbili, kama ifuatavyo:

JOB NDUGAI,
SPIKA WA BUNGE,
OFISI YA SPIKA,
DODOMA.

14 APRIL 2019.

PROFESA ASSAD,
CAG WA TANZANIA,
DODOMA.

YAH: WITO WA AMA KUJIUZULU AU KUJIELEZA KWA NINI USIADHIBIWE NA MWAJIRI WAKO

Somo hapo juu lahusika.

Unapatiwa taarifa kwamba, unakabiliwa na tuhuma mbili nzito zifuatazo.

Tuhuma ya kwanza: Huku ukijua kwamba, Bunge ni taasisi inayojumuisha Wabunge, Mawaziri na Rais, ambapo Rais ndiye mwajiri na mteuzi wa CAG; na ukiwa unaelewa kwamba, Hati ya Majukumu ya CAG haisemi kuwa kutathmini utendaji wa taasisi ya Bunge ni kazi mojawapo ya CAG, ulichukua hatua ya kufanya tathmini ya utendaji wa Bunge; na hivyo, kumdharau mteuzi wako kwa kufanya kazi iliyo nje ya majukumu yako uliyokabidhiwa rasmi. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.

Tuhuma ya pili:
Huku ukijua kwamba, wewe sio msemaji wa ofisi inayohusika na kutathmini utendaji wa Bunge; alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu kwa mujibu wa tathmini yako; na hivyo kutumia utaratibu wa mawasiliano unaolidhalilisha Bunge mbele ya wapiga kura na Jumuiya ya Kimataifa. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.

Wito: Hivyo, ndani ya masaa 48 baada ya kupata barua hii, unatakiwa kujitokeza mbele ya Mteuzi wako na kufanya mojawapo kati ya mawili kwa mdomo na kwa maandishi:

(a) ama kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha;

(b) au kujiuzulu mara moja kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha.

Katika kutekeleza wito huu unashauriwa kusoma kwa makini ibara ya 144 ya Katiba ya Tanzania (1977) inayosema yafuatayo:

“144. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tu kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake (ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote) au kwa sababu ya tabia mbaya, au kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na hataweza kuondolewa kazini ila kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara hii. (3) (a) Iwapo Rais anaona kwamba suala la kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu kwa mujibu wa masharti ya ibara hii lahitaji kuchunguzwa, basi … atateua Tume Maalum… (4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini."

Uelewa wangu kama Spika ni kwamba, kulingana na uzito wa kosa ulilolifanya, suala la kukuondoa kazini kwa mujibu wa masharti ya Katiba yetu halihitaji kuchunguzwa, na kwa hiyo hakuna sababu ya Rais kuteua Tume Maalum.

Wako katika ujenzi wa Taifa,

Job Ndugai,
Spika wa Bunge Tanzania.
NDIO MAANA KWENYE KATIBA WAMESEMA LAZIMA IBARA NDOGO YA (4) ITUMIKE ILI HUYO CAG AFUKUZWE KAZI...
 
Frank Gotora

Frank Gotora

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Messages
396
Points
500
Frank Gotora

Frank Gotora

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2014
396 500
Najua Ndungai amebakiza miezi 8 kuondoka ofisini
2020 tulidhani ni mbali sana
Kumbe uchaguzi umefika????
Duh
sasa kurudi bungeni itategemea huruma za wananchi wake
Japo nao wanashangaa coz hawakumtuma aende bungeni kuanzisha vita na CAG
Hiyo nayo ni tabia mbaya

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
13,363
Points
2,000
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
13,363 2,000

Kwa sababu Tuhuma ya Pili imejengwa kutokana na kauli ya uongo ,"..alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu.....". Hapa hakuna mashtaka ya kujibu.

Link https://www.jamiiforums.com/threads/kwanini-ndugai-anaongea-uwongo-kauli-ya-prof-assad-ni-bunge-lina-udhaifu-sio-bunge-dhaifu-shida-iko-wapi-wao-malaika.1573290/

N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Messages
8,608
Points
2,000
N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2010
8,608 2,000
Ndugai amepewa kiburi na Magufuli, Magufuli angekuwa upande wa Assad upuuzi huu ungesha koma zamani.
 
Samwel Ngulinzira

Samwel Ngulinzira

Verified Member
Joined
Aug 5, 2017
Messages
810
Points
1,000
Age
25
Samwel Ngulinzira

Samwel Ngulinzira

Verified Member
Joined Aug 5, 2017
810 1,000
Hapana na hapo ndio tunakosea kabisa
Sio kila swali ajibu mkubwa tu
Hapo nilitoa mfano tu kwa askari lakini hebu fatilia matukio duniani yanapotokea na waandishi wa habari huwa wanawauliza kina nani kama tukio likitokea au jambo kubwa
Watatafutwa mpaka wastaafu na kuulizwa
Na huwezi kukuta anasema mimi sio msemaji
Kuna mambo mengi ambayo hayahitaji mhisika kuyajibu hata wewe unaweza kujibu kama upo katika taaluma hiyo na unajua kinachoendelea Upo mpaka hapo
Yaani mpira umeisha anaulizwa mchezaji swali halafu anaogopa kujibu na kusema MIMI SIO MSEMAJI sasa hata mpira uliocheza wewe unashindwa kujibu

Ukweli ni kwamba hatunaga majibu pindi tunapoulizwa swali kwa kutokujiamini hiyo confidence watu hawana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Taratibu za kijeshi unazijua mkuu?
 
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
13,579
Points
2,000
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
13,579 2,000
Najua Ndungai amebakiza miezi 8 kuondoka ofisini
2020 tulidhani ni mbali sana
Kumbe uchaguzi umefika????
Duh
sasa kurudi bungeni itategemea huruma za wananchi wake
Japo nao wanashangaa coz hawakumtuma aende bungeni kuanzisha vita na CAG
Hiyo nayo ni tabia mbaya

Sent from my iPhone using JamiiForums
Watu wakiwa madarakani Huwa wanashindwa kusoma Nyakati,kwa namna yeyote ile Ndugai mwakani hapati uspika hata iweje,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,515
Points
2,000
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,515 2,000
Hatujawahi kupata Spika wa hovyohovyo kama huyu Bwana mdogo, hivi anashindwa hata kujiongeza kwa Jambo dogo kama hili kwamba hana mamlaka ya kuhoji uteuzi au utenguzi wa CAG , anafikiri cheo cha CAG ni kama uwaziri,

Na hili la Spika kumshinikiza Mh Rais kutengua uteuzi wa CAG ni kutaka kumuingiza Rais majaribuni , Spika aachie ngazi kama kweli anaona hilo analolisimamia lipo sawa!

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,687
Points
2,000
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,687 2,000
Hivi kwa nini wabunge wanakubali kudhalilishwa namna hii na Ndugai?
 
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
1,193
Points
2,000
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2018
1,193 2,000
Kazi ya kuidhinisha matumizi ya fedha za umma ni za jiwe? Jiwe amechukua kazi za bunge.
hwa na amini kwamba mtu anayeitwa JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI ana mattizo mengi mno kichwani na uelewa wake juu ya mambo yanayomzunguka ni mdogo sana
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,284,193
Members 493,978
Posts 30,816,726
Top