Hati ya Mashtaka dhidi ya CAG Assad: Anachomokaje?

Status
Not open for further replies.
Mama Amon

Mama Amon

Senior Member
Joined
Mar 30, 2018
Messages
179
Points
500
Mama Amon

Mama Amon

Senior Member
Joined Mar 30, 2018
179 500
KANUSHO;

======

UPDSTES: 16 April 2019

Taarifa hii hapa chini imekanushwa. Ofisi ya Bunge imekanusha kuwa Spika Job Ndugai hajaandika barua inayotoa wito kwa CAG, Prof. Mussa Assad kujiuzulu ama kujieleza kwa mwajiri wake kwanini asiadhibiwe. Ofisi hiyo imewatahadharisha wananchi dhidi ya uzushi huo ikisema, ufafanuzi wa azimio dhidi ya CAG ulishatolewa.zaidi soma1555350169028-png.1072282

Magazeti ya leo yamemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akitaja mashtaka yanayomkabili CAG Assad. Ni kama ametaja hati ya mashtaka yenye tuhuma mbili, kama ifuatavyo:

JOB NDUGAI,
SPIKA WA BUNGE,
OFISI YA SPIKA,
DODOMA.

14 APRIL 2019.

PROFESA ASSAD,
CAG WA TANZANIA,
DODOMA.

YAH: WITO WA AMA KUJIUZULU AU KUJIELEZA KWA NINI USIADHIBIWE NA MWAJIRI WAKO

Somo hapo juu lahusika.

Unapatiwa taarifa kwamba, unakabiliwa na tuhuma mbili nzito zifuatazo.

Tuhuma ya kwanza: Huku ukijua kwamba, Bunge ni taasisi inayojumuisha Wabunge, Mawaziri na Rais, ambapo Rais ndiye mwajiri na mteuzi wa CAG; na ukiwa unaelewa kwamba, Hati ya Majukumu ya CAG haisemi kuwa kutathmini utendaji wa taasisi ya Bunge ni kazi mojawapo ya CAG, ulichukua hatua ya kufanya tathmini ya utendaji wa Bunge; na hivyo, kumdharau mteuzi wako kwa kufanya kazi iliyo nje ya majukumu yako uliyokabidhiwa rasmi. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.

Tuhuma ya pili:
Huku ukijua kwamba, wewe sio msemaji wa ofisi inayohusika na kutathmini utendaji wa Bunge; alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu kwa mujibu wa tathmini yako; na hivyo kutumia utaratibu wa mawasiliano unaolidhalilisha Bunge mbele ya wapiga kura na Jumuiya ya Kimataifa. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.

Wito: Hivyo, ndani ya masaa 48 baada ya kupata barua hii, unatakiwa kujitokeza mbele ya Mteuzi wako na kufanya mojawapo kati ya mawili kwa mdomo na kwa maandishi:

(a) ama kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha;

(b) au kujiuzulu mara moja kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha.

Katika kutekeleza wito huu unashauriwa kusoma kwa makini ibara ya 144 ya Katiba ya Tanzania (1977) inayosema yafuatayo:

“144. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tu kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake (ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote) au kwa sababu ya tabia mbaya, au kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na hataweza kuondolewa kazini ila kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara hii. (3) (a) Iwapo Rais anaona kwamba suala la kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu kwa mujibu wa masharti ya ibara hii lahitaji kuchunguzwa, basi … atateua Tume Maalum… (4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini."

Uelewa wangu kama Spika ni kwamba, kulingana na uzito wa kosa ulilolifanya, na kwa kuwa umekubalia makosa yako hadharani mchana kweupe, mbele ya waandishi wa habari, suala la kukuondoa kazini kwa mujibu wa masharti ya Katiba yetu halihitaji tena kuchunguzwa, na kwa hiyo hakuna sababu ya Rais kuteua Tume Maalum.

Wako katika ujenzi wa Taifa,

Job Ndugai,
Spika wa Bunge Tanzania.
 
S

Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
1,405
Points
2,000
S

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
1,405 2,000
Mbona hutokwi na povu kwa matumizi ya fedha ya kidhaifu toka kwa vyama vyenu yaliyoibuliwa na the same cag? Hao je? Sio wezi kama jiwe na ndugai? Basi huna haki ya kumshutumua rais kwa uwizi huo, sababu na nyinyi kuna ujambazi kwenu, ilhali bado hamjakabidhiwa nchi. Unakumbuka ile stry ya Yesu na kahaba, asiye na dhambi ampige mawe kahaba, kuna alierusha?
Na ndio nakukanya wewe hapo nyumbu, kama nyinyi si wasafi huna haki ya kumwita rais mwizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba tu kuuliza moja,Chadema na Tanzania wapi kuna watanzania wengi? Second,Nani anakusanya Pesa yetu kwa njia ya Kodi na tatu Nani alimpa Pesa yetu Chadema? Nne,Nani tumsakame aliyetoa au aliyepewa?
 
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Messages
4,059
Points
2,000
Songambele

Songambele

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2007
4,059 2,000
View attachment 1072282

Magazeti ya leo yamemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akitaja mashtaka yanayomkabili CAG Assad. Ni kama ametaja hati ya mashtaka yenye tuhuma mbili, kama ifuatavyo:

JOB NDUGAI,
SPIKA WA BUNGE,
OFISI YA SPIKA,
DODOMA.

14 APRIL 2019.

PROFESA ASSAD,
CAG WA TANZANIA,
DODOMA.

YAH: WITO WA AMA KUJIUZULU AU KUJIELEZA KWA NINI USIADHIBIWE NA MWAJIRI WAKO

Somo hapo juu lahusika.

Unapatiwa taarifa kwamba, unakabiliwa na tuhuma mbili nzito zifuatazo.

Tuhuma ya kwanza: Huku ukijua kwamba, Bunge ni taasisi inayojumuisha Wabunge, Mawaziri na Rais, ambapo Rais ndiye mwajiri na mteuzi wa CAG; na ukiwa unaelewa kwamba, Hati ya Majukumu ya CAG haisemi kuwa kutathmini utendaji wa taasisi ya Bunge ni kazi mojawapo ya CAG, ulichukua hatua ya kufanya tathmini ya utendaji wa Bunge; na hivyo, kumdharau mteuzi wako kwa kufanya kazi iliyo nje ya majukumu yako uliyokabidhiwa rasmi. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.

Tuhuma ya pili:
Huku ukijua kwamba, wewe sio msemaji wa ofisi inayohusika na kutathmini utendaji wa Bunge; alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu kwa mujibu wa tathmini yako; na hivyo kutumia utaratibu wa mawasiliano unaolidhalilisha Bunge mbele ya wapiga kura na Jumuiya ya Kimataifa. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.

Wito: Hivyo, ndani ya masaa 48 baada ya kupata barua hii, unatakiwa kujitokeza mbele ya Mteuzi wako na kufanya mojawapo kati ya mawili kwa mdomo na kwa maandishi:

(a) ama kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha;

(b) au kujiuzulu mara moja kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha.

Katika kutekeleza wito huu unashauriwa kusoma kwa makini ibara ya 144(2) ya Katiba ya Tanzania (1977) inayosema yafuatayo:

“144(2). Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tu kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake (ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote) au kwa sababu ya tabia mbaya, au kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na hataweza kuondolewa kazini ila kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara hii. (3) (a) Iwapo Rais anaona kwamba suala la kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu kwa mujibu wa masharti ya ibara hii lahitaji kuchunguzwa, basi … atateua Tume Maalum… (4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini."

Uelewa wangu kama Spika ni kwamba, kulingana na uzito wa kosa ulilolifanya, suala la kukuondoa kazini kwa mujibu wa masharti ya Katiba yetu halihitaji kuchunguzwa, na kwa hiyo hakuna sababu ya Rais kuteua Tume Maalum.

Wako katika ujenzi wa Taifa,

Job Ndugai,
Spika wa Bunge Tanzania.
Ñnnnnnnnnnnnnh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Sandinistas

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Messages
1,687
Points
2,000
S

Sandinistas

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2013
1,687 2,000
CAG Asad alisema kama yeye anapeleka report na Bunge halifanyii kazi report basi huo utakuwa ni udhaifu wa Bunge, hakusema kuwa Bunge ni dhaifu, HAWA WASHAMBA WANACHOKITAFUTA HAWAKIPATI..
Tushawajua nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
CAG ni kikwazo kwa viongozi wasiokuwa na nidhamu katika matumizi ya fedha za umma. Kwa vile hawatarajii kuwa na nidhamu ufimbuzi ni kumwondoa Assad. Inaelekea uamuzi huu ulishafanyika siku nyingi na ilikuwa inasubiriwa nafasi tu. Lakini nadhani wamefanya haraka mno. Hii kauli ya 'udhaifu wa bunge' ni sababu ndogo mno kumwondoa CAG.
 
exit

exit

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
1,289
Points
2,000
exit

exit

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
1,289 2,000
Timing yao imekuwa mbovu na wameshindwa kusoma alama za nyakati, wananchi wameshaichoka serikali kwakweli.
CAG ni kikwazo kwa viongozi wasiokuwa na nidhamu katika matumizi ya fedha za umma. Kwa vile hawatarajii kuwa na nidhamu ufimbuzi ni kumwondoa Assad. Inaelekea uamuzi huu ulishafanyika siku nyingi na ilikuwa inasubiriwa nafasi tu. Lakini nadhani wamefanya haraka mno. Hii kauli ya 'udhaifu wa bunge' ni sababu ndogo mno kumwondoa CAG.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ikipendaroho

ikipendaroho

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2015
Messages
2,143
Points
2,000
ikipendaroho

ikipendaroho

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2015
2,143 2,000
Ndugai unaonesha una uhakika na shituma zako dhidi ya CAG. Kuwa na confidence ni jambo zuri, na kwa vile una uhakika basi upange deal!

Ikiwa kwa kutumia vifungu vya sheria, CAG ataonekana hana hatia, basi wewe ujiuzulu!
 
Samwel Ngulinzira

Samwel Ngulinzira

Verified Member
Joined
Aug 5, 2017
Messages
810
Points
1,000
Age
25
Samwel Ngulinzira

Samwel Ngulinzira

Verified Member
Joined Aug 5, 2017
810 1,000
Hili neno "Sio msemaji" ni dhaifu pia kwa watu wengi ambao huwa wakishindwa kujibu hoja wanakimbilia hili neno, na liko kwetu tu
Unamuuliza Askari kwanini crime zinaongezeka kila kukicha anakujibu eti Mimi sio msemaji seriously?

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mkuu kijeshi kuna mtu ambaye anaruhusiwa kutoa tathmini ya usalama au kutoa taarifa juu ya tukio lolote.
Sio kila askari anaweza kutoa taarifa au kukujibu mpaka yule mhusika ambaye ndio top aseme...mfano msemaji wa jeshi (lolote), IGP, RPC,OCD au afisa upelelezi.
Hizi ndio ethics za askari
 
Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Messages
2,157
Points
2,000
Oii

Oii

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2017
2,157 2,000
Kwa sababu wwni mchepuko wa jiwe na spika unaweza kuwashutumu hao wapinzani kwa wizi, sio jukumu langu. Mimi natumia bundle langu kwa jinsi ninavyoona. Hata ww una ruhusu ya kuwashutumu wapinzani hiyo ni haki yako.
Mchepuko umetokea wapi sasa, ndio hivyo na mm nilitaka kukumbusha uone madudu ya huko kwenu. You're not that perfect with the little you have.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S

Selule

Member
Joined
Sep 12, 2016
Messages
54
Points
125
S

Selule

Member
Joined Sep 12, 2016
54 125
View attachment 1072282
Magazeti ya leo yamemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akitaja mashtaka yanayomkabili CAG Assad. Ni kama ametaja hati ya mashtaka yenye tuhuma mbili, kama ifuatavyo:
JOB NDUGAI,
SPIKA WA BUNGE,
OFISI YA SPIKA,
DODOMA.
14 APRIL 2019.

PROFESA ASSAD,
CAG WA TANZANIA,
DODOMA.
YAH: WITO WA AMA KUJIUZULU AU KUJIELEZA KWA NINI USIADHIBIWE NA MWAJIRI WAKO
Somo hapo juu lahusika.
Unapatiwa taarifa kwamba, unakabiliwa na tuhuma mbili nzito zifuatazo.
Tuhuma ya kwanza: Huku ukijua kwamba, Bunge ni taasisi inayojumuisha Wabunge, Mawaziri na Rais, ambapo Rais ndiye mwajiri na mteuzi wa CAG; na ukiwa unaelewa kwamba, Hati ya Majukumu ya CAG haisemi kuwa kutathmini utendaji wa taasisi ya Bunge ni kazi mojawapo ya CAG, ulichukua hatua ya kufanya tathmini ya utendaji wa Bunge; na hivyo, kumdharau mteuzi wako kwa kufanya kazi iliyo nje ya majukumu yako uliyokabidhiwa rasmi. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.
Tuhuma ya pili:
Huku ukijua kwamba, wewe sio msemaji wa ofisi inayohusika na kutathmini utendaji wa Bunge; alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu kwa mujibu wa tathmini yako; na hivyo kutumia utaratibu wa mawasiliano unaolidhalilisha Bunge mbele ya wapiga kura na Jumuiya ya Kimataifa. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.
Wito: Hivyo, ndani ya masaa 48 baada ya kupata barua hii, unatakiwa kujitokeza mbele ya Mteuzi wako na kufanya mojawapo kati ya mawili kwa mdomo na kwa maandishi:
(a) ama kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha;
(b) au kujiuzulu mara moja kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha.
Katika kutekeleza wito huu unashauriwa kusoma kwa makini ibara ya 144(2) ya Katiba ya Tanzania (1977) inayosema yafuatayo:
“144(2). Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tu kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake (ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote) au kwa sababu ya tabia mbaya, au kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na hataweza kuondolewa kazini ila kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara hii. (3) (a) Iwapo Rais anaona kwamba suala la kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu kwa mujibu wa masharti ya ibara hii lahitaji kuchunguzwa, basi … atateua Tume Maalum… (4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini."
Uelewa wangu kama Spika ni kwamba, kulingana na uzito wa kosa ulilolifanya, suala la kukuondoa kazini kwa mujibu wa masharti ya Katiba yetu halihitaji kuchunguzwa, na kwa hiyo hakuna sababu ya Rais kuteua Tume Maalum.
Wako katika ujenzi wa Taifa,
Job Ndugai,
Spika wa Bunge Tanzania.
Hoja hii inaelekea kutaka kukuza mgogoro badala ya kusuluhisha. Jitijada za kumjumuisha Rais katika mgogoro wa Spika na CAG ni upotoshaji wenye Nia ya kuonesha kuwa Prof. Assad amekengeuka kwa kumdharau Kiongozi wake ili kumfanya aombe radhi kusudi hoja ya Mhe. Ndugai kuwa Prof. Assad ajiuzulu ipate nguvu.
Kwa maoni yangu Bunge lilikosea kumtuhumu CAG, kisha lenyewe kusikiliza shauri hilo na kulitolea uamuzi. Kwa kuzingatia misingi ya utawala bora hatua sahihi za kushighulikia mgogoro huo ni kwa Spika kuwasilisha malalamiko ama Mahakama Kuu au Sekretariet ya Maadili ya Viongozi wa umma ili wasikilize pande zote na kutolea uamuzi /ushauri.
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
18,050
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
18,050 2,000
Mchepuko umetokea wapi sasa, ndio hivyo na mm nilitaka kukumbusha uone madudu ya huko kwenu. You're not that perfect with the little you have.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukileta hoja kistaarabu nitakujibu kistaarabu hata tukipishana mitazamo, ila ukileta hoja na kuniita nyumbu basi ujue utaoga lugha chafu mpaka ukimbie. Hayo madhaifu ya upinzani ni juu yako kuyaongele, mimi naongelea ya serekali.
 
mzee74

mzee74

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2011
Messages
8,013
Points
2,000
mzee74

mzee74

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2011
8,013 2,000
View attachment 1072282

Magazeti ya leo yamemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akitaja mashtaka yanayomkabili CAG Assad. Ni kama ametaja hati ya mashtaka yenye tuhuma mbili, kama ifuatavyo:

JOB NDUGAI,
SPIKA WA BUNGE,
OFISI YA SPIKA,
DODOMA.

14 APRIL 2019.

PROFESA ASSAD,
CAG WA TANZANIA,
DODOMA.

YAH: WITO WA AMA KUJIUZULU AU KUJIELEZA KWA NINI USIADHIBIWE NA MWAJIRI WAKO

Somo hapo juu lahusika.

Unapatiwa taarifa kwamba, unakabiliwa na tuhuma mbili nzito zifuatazo.

Tuhuma ya kwanza: Huku ukijua kwamba, Bunge ni taasisi inayojumuisha Wabunge, Mawaziri na Rais, ambapo Rais ndiye mwajiri na mteuzi wa CAG; na ukiwa unaelewa kwamba, Hati ya Majukumu ya CAG haisemi kuwa kutathmini utendaji wa taasisi ya Bunge ni kazi mojawapo ya CAG, ulichukua hatua ya kufanya tathmini ya utendaji wa Bunge; na hivyo, kumdharau mteuzi wako kwa kufanya kazi iliyo nje ya majukumu yako uliyokabidhiwa rasmi. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.

Tuhuma ya pili:
Huku ukijua kwamba, wewe sio msemaji wa ofisi inayohusika na kutathmini utendaji wa Bunge; alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu kwa mujibu wa tathmini yako; na hivyo kutumia utaratibu wa mawasiliano unaolidhalilisha Bunge mbele ya wapiga kura na Jumuiya ya Kimataifa. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.

Wito: Hivyo, ndani ya masaa 48 baada ya kupata barua hii, unatakiwa kujitokeza mbele ya Mteuzi wako na kufanya mojawapo kati ya mawili kwa mdomo na kwa maandishi:

(a) ama kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha;

(b) au kujiuzulu mara moja kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha.

Katika kutekeleza wito huu unashauriwa kusoma kwa makini ibara ya 144 ya Katiba ya Tanzania (1977) inayosema yafuatayo:

“144. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tu kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake (ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote) au kwa sababu ya tabia mbaya, au kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na hataweza kuondolewa kazini ila kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara hii. (3) (a) Iwapo Rais anaona kwamba suala la kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu kwa mujibu wa masharti ya ibara hii lahitaji kuchunguzwa, basi … atateua Tume Maalum… (4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini."

Uelewa wangu kama Spika ni kwamba, kulingana na uzito wa kosa ulilolifanya, suala la kukuondoa kazini kwa mujibu wa masharti ya Katiba yetu halihitaji kuchunguzwa, na kwa hiyo hakuna sababu ya Rais kuteua Tume Maalum.

Wako katika ujenzi wa Taifa,

Job Ndugai,
Spika wa Bunge Tanzania.
Utaratibu wa kumtoa CAG iwapo kafanya makosa upo wazi..Spika hana mamlaka ya kuingilia ufanyaji kazi wa CAG kwa mujibu wa katiba!
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
11,630
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
11,630 2,000
Mkuu kijeshi kuna mtu ambaye anaruhusiwa kutoa tathmini ya usalama au kutoa taarifa juu ya tukio lolote.
Sio kila askari anaweza kutoa taarifa au kukujibu mpaka yule mhusika ambaye ndio top aseme...mfano msemaji wa jeshi (lolote), IGP, RPC,OCD au afisa upelelezi.
Hizi ndio ethics za askari
Hapana na hapo ndio tunakosea kabisa
Sio kila swali ajibu mkubwa tu
Hapo nilitoa mfano tu kwa askari lakini hebu fatilia matukio duniani yanapotokea na waandishi wa habari huwa wanawauliza kina nani kama tukio likitokea au jambo kubwa
Watatafutwa mpaka wastaafu na kuulizwa
Na huwezi kukuta anasema mimi sio msemaji
Kuna mambo mengi ambayo hayahitaji mhisika kuyajibu hata wewe unaweza kujibu kama upo katika taaluma hiyo na unajua kinachoendelea Upo mpaka hapo
Yaani mpira umeisha anaulizwa mchezaji swali halafu anaogopa kujibu na kusema MIMI SIO MSEMAJI sasa hata mpira uliocheza wewe unashindwa kujibu

Ukweli ni kwamba hatunaga majibu pindi tunapoulizwa swali kwa kutokujiamini hiyo confidence watu hawana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,284,203
Members 493,978
Posts 30,817,141
Top