View attachment 1072282
Magazeti ya leo yamemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akitaja mashtaka yanayomkabili CAG Assad. Ni kama ametaja hati ya mashtaka yenye tuhuma mbili, kama ifuatavyo:
JOB NDUGAI,PROFESA ASSAD,
SPIKA WA BUNGE,
OFISI YA SPIKA,
DODOMA.
14 APRIL 2019.
CAG WA TANZANIA,
DODOMA.
YAH: WITO WA AMA KUJIUZULU AU KUJIELEZA KWA NINI USIADHIBIWE NA MWAJIRI WAKO
Somo hapo juu lahusika.
Unapatiwa taarifa kwamba, unakabiliwa na tuhuma mbili nzito zifuatazo.
Tuhuma ya kwanza: Huku ukijua kwamba, Bunge ni taasisi inayojumuisha Wabunge, Mawaziri na Rais, ambapo Rais ndiye mwajiri na mteuzi wa CAG; na ukiwa unaelewa kwamba, Hati ya Majukumu ya CAG haisemi kuwa kutathmini utendaji wa taasisi ya Bunge ni kazi mojawapo ya CAG, ulichukua hatua ya kufanya tathmini ya utendaji wa Bunge; na hivyo, kumdharau mteuzi wako kwa kufanya kazi iliyo nje ya majukumu yako uliyokabidhiwa rasmi. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.
Tuhuma ya pili: Huku ukijua kwamba, wewe sio msemaji wa ofisi inayohusika na kutathmini utendaji wa Bunge; alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu kwa mujibu wa tathmini yako; na hivyo kutumia utaratibu wa mawasiliano unaolidhalilisha Bunge mbele ya wapiga kura na Jumuiya ya Kimataifa. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.
Wito: Hivyo, ndani ya masaa 48 baada ya kupata barua hii, unatakiwa kujitokeza mbele ya Mteuzi wako na kufanya mojawapo kati ya mawili kwa mdomo na kwa maandishi:
(a) ama kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha;
(b) au kujiuzulu mara moja kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha.
Katika kutekeleza wito huu unashauriwa kusoma kwa makini ibara ya 144 ya Katiba ya Tanzania (1977) inayosema yafuatayo:
“144. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tu kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake (ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote) au kwa sababu ya tabia mbaya, au kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na hataweza kuondolewa kazini ila kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara hii. (3) (a) Iwapo Rais anaona kwamba suala la kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu kwa mujibu wa masharti ya ibara hii lahitaji kuchunguzwa, basi … atateua Tume Maalum… (4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini."
Uelewa wangu kama Spika ni kwamba, kulingana na uzito wa kosa ulilolifanya, suala la kukuondoa kazini kwa mujibu wa masharti ya Katiba yetu halihitaji kuchunguzwa, na kwa hiyo hakuna sababu ya Rais kuteua Tume Maalum.
Wako katika ujenzi wa Taifa,
Job Ndugai,
Spika wa Bunge Tanzania.
Binafsi nimekuelewa.sarakasi zote tunazoshuhudia za ukiukwaji wa katiba, wizi , kuviziana, ubabe , ufisadi kutekana , kuuana, kutukanana, kutesana and the like zitakufa a natural death in 50 years baada ya genge la wahusika wote kufukiwa na udongo, i wish wabongo wangetulia tu na kutafuta mkate wa familia, this is my theory of generation/ population! yaani huwa nacheka sana wabongo wakilalamikia chochote from the state!!! imani yangu hakuna ambacho kelele na mayowe vitabadilisha sababu we deal with the same manifesto , the same heads/brains/minds in power for almost 58 years now, si wanazeeka na kuchoka hamna macho? wengine hata kuongea kwa kitetemeshi!!wengine kutembea kwa shida! wengine wako kwenye coma! wengine spana mkononi kila siku wako India!!! for me kulalamika is just a waste of energy and time!! wenye akili watanielewa!!!
Kuna haja katiba ifafanue nini maana ya tabia mbaya.View attachment 1072282
Magazeti ya leo yamemnukuu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akitaja mashtaka yanayomkabili CAG Assad. Ni kama ametaja hati ya mashtaka yenye tuhuma mbili, kama ifuatavyo:
JOB NDUGAI,PROFESA ASSAD,
SPIKA WA BUNGE,
OFISI YA SPIKA,
DODOMA.
14 APRIL 2019.
CAG WA TANZANIA,
DODOMA.
YAH: WITO WA AMA KUJIUZULU AU KUJIELEZA KWA NINI USIADHIBIWE NA MWAJIRI WAKO
Somo hapo juu lahusika.
Unapatiwa taarifa kwamba, unakabiliwa na tuhuma mbili nzito zifuatazo.
Tuhuma ya kwanza: Huku ukijua kwamba, Bunge ni taasisi inayojumuisha Wabunge, Mawaziri na Rais, ambapo Rais ndiye mwajiri na mteuzi wa CAG; na ukiwa unaelewa kwamba, Hati ya Majukumu ya CAG haisemi kuwa kutathmini utendaji wa taasisi ya Bunge ni kazi mojawapo ya CAG, ulichukua hatua ya kufanya tathmini ya utendaji wa Bunge; na hivyo, kumdharau mteuzi wako kwa kufanya kazi iliyo nje ya majukumu yako uliyokabidhiwa rasmi. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.
Tuhuma ya pili: Huku ukijua kwamba, wewe sio msemaji wa ofisi inayohusika na kutathmini utendaji wa Bunge; alibeba jukumu la kuitangazia dunia kwamba, Bunge la Tanzania ni dhaifu kwa mujibu wa tathmini yako; na hivyo kutumia utaratibu wa mawasiliano unaolidhalilisha Bunge mbele ya wapiga kura na Jumuiya ya Kimataifa. Mwenendo huu ni tabia mbaya inayotajwa katika kifungu cha 144(2) cha Katiba ya Tanzania (1977) kinachoongoza ajira yako kama CAG.
Wito: Hivyo, ndani ya masaa 48 baada ya kupata barua hii, unatakiwa kujitokeza mbele ya Mteuzi wako na kufanya mojawapo kati ya mawili kwa mdomo na kwa maandishi:
(a) ama kujieleza kwa nini usichukuliwe hatua za kinidhamu kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha;
(b) au kujiuzulu mara moja kwa sababu ya “tabia mbaya” uliyoionyesha.
Katika kutekeleza wito huu unashauriwa kusoma kwa makini ibara ya 144 ya Katiba ya Tanzania (1977) inayosema yafuatayo:
“144. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aweza tu kuondolewa katika madaraka ya kazi yake kwa sababu ya kushindwa kutekeleza kazi zake (ama kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote) au kwa sababu ya tabia mbaya, au kwa kuvunja masharti ya sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na hataweza kuondolewa kazini ila kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (4) ya ibara hii. (3) (a) Iwapo Rais anaona kwamba suala la kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu kwa mujibu wa masharti ya ibara hii lahitaji kuchunguzwa, basi … atateua Tume Maalum… (4) Ikiwa Tume iliyoteuliwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ndogo ya (3) itamshauri Rais kwamba huyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu aondolewe kazini kwa sababu ya kushindwa kufanya kazi kutokana na maradhi au sababu nyingine yoyote au kwa sababu ya tabia mbaya, basi Rais atamwondoa kazini."
Uelewa wangu kama Spika ni kwamba, kulingana na uzito wa kosa ulilolifanya, suala la kukuondoa kazini kwa mujibu wa masharti ya Katiba yetu halihitaji kuchunguzwa, na kwa hiyo hakuna sababu ya Rais kuteua Tume Maalum.
Wako katika ujenzi wa Taifa,
Job Ndugai,
Spika wa Bunge Tanzania.
Serikali imekuwa bna matumizi mabaya sana ya fedha za umma wakati wadhibiti (bunge)limekuwa bubu huu ni sehemu ya udhaifu CAG anabainisha.View attachment 1072282

CAG alikua amesahau kabisa kuwa Rais ni sehemu ya Bunge. ni tabia mbaya kumuita aliyekuteua kuwa ni dhaifu. that is unacceptable.
Wakuu,View attachment 1072282

La kukiuka maadili ya uongozi
Ukileta hoja kistaarabu nitakujibu kistaarabu hata tukipishana mitazamo, ila ukileta hoja na kuniita nyumbu basi ujue utaoga lugha chafu mpaka ukimbie. Hayo madhaifu ya upinzani ni juu yako kuyaongele, mimi naongelea ya serekali.
Sentafu ngugai
Winga teleza shavu la kulia mwakyembe
Shavu la kushoto mgogo kabudi
Striker fosi jiwe
Bila kusahau nyanda Tulia
Bench la ufundi yupo katibu wa bunge
CAG pamoja na kupata washangiliaji kibao kutoka timu ya matamko bila vitendo
Muda si mrefu CAG Ataishiwa pumzi kabisa labda aombe poo kwa jiwe akiwasikiliza wapiga kelele bila vitendo jiwe anaweka katiba kando anapita shortcut CAG CHALIII.... anaebisha hainue kidole juu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti kubwa kati ya parliament na national assembly CAG alimaanisha national assembly of which president is not part of itHoja za kipuuzi puuzi!Kwa hiyo kama bunge ni kweli ni dhaifu na raisi ni sehemu ya hilo bunge ina maana ukweli usisemwe??!