Acheni kudanganya umma nyie kwa kuchukua kamstari kamoja na kukafanya mtaji. Tatizo hapa si neno kwa mkuu wa mkoa bali kuwapandisha hasira wanafunzi na yaliyofuata yanaeleweka. Kiutaratibu Lema hakufuata utaratibu pale chuoni hata muweke uchama mbele bado ana kosa tuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! cha msingi ni lile nililosema mwababe hawa wote hawatakiwi wake pembeni waje wengine maana hatuoni kinachoendelea Arusha zaidi ya mikwaruzano ya hapa na pale na bila sababu za msingi. Huyu bwana anahangaika na kesi hapa na pale muda wa kazi unakuwa wapi? Kwenye msiba unataka aende amevaa gauni ndiyo uone ana majonzi au, eti mbona lema aliongea bila kipaza sauti? mtu anauliza swali hilo huku akimtusi Mulongo kuwa hafikirii bila kujiuliza kama yeye anafikiria kama kila mtu anasauti yake na uwezo wake wa kupaza sauti kama kila mmoja anaweza kuongea kwa sauti kwanini hivyo vipasa sauti viliwekwa? Eti alionesha uso wa nyodo, hahahaha unajua kama humpendi mtu hata akikusalimia utasema mnafiki huyu.
Jamani Tanzania kwanza haya mavyama ya siasa hayana maana yoyote.