Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

This is Joking.
Kuna kitu kimejificha Hapa, watu wanaanza Kufunguka, Hayo Mashtaka yamewekwa Purposely Kumvua Nguo Mulongo na Aliyemtuma.
Mulongo Kawapa Kazi watu watengeneze Mashtaka, Hao watu kwa Kutaka tu Kuuumbua aliyemtuma Mulongo ndo wakatengeneza Hilo Shtaka
Na Mulongo alivyo Kilaza anakenua tu Kuona Lema anakuwa Charged na Mashtaka ya Kitoto kama hayo.
 
Naona Lumumba hapa Leo wameamua Kuingia kama wageni kwenye Huu Uzi

There are currently 1166 users browsing this thread. (29 members and 1137 guests)
 
Teh teh teh sasa hii nayo ni kesi jamani Lol!!!Yaani hata mtoto wa darasa la pili au la kwanza hawezi kuipeleka kesi kama hii Mahakamani,Hivi hii nchi kweli ina viongozi sasa Napata kuelewa kwa 1milion% maneno ya Dr Wilbroada Peter Slaa alivyosema nchi haitwaweza kutawalika sasa kwa kesi kama hii kweli na watawala wapo lakini wameshindwa kuachana nayo na leo wameipeleka Mahakamani kama si matumizi mabaya ya madaraka ni nini sasa jamani kama kuna watu ambao ni wagumu wa kuelewa kwa Dunia hii utawapata Tanzania tu na si kwingineko hivi wale wanaosapoti Serikali ya CCm inayoongozwa na Kikwete akili zao zikoje?????Maake kweli hapa sio lazima kwenda Chuo kikuu ndio uelewe mambo yalivyo ya kienyeji kwa Tanzania Lol!!aibu ya Serikali ya Maccm na Mulongo Magese
wewe hujaliona kosa maana sheria si fani yako, waache wanasheria wafanye tafsiri zao, hilo ni kosa na sheria za JMT zimelitamka hilo kama kosa na lina adhabu
 
huo state attorney aliye saini hiyo hati ya mashitaka atakuwa mhitimu wa UDOM au OUT, au chuo kingine cha voda fasta, kichwa cha UDSM hakiwezi kudhalilisha taaluma kwa kuweka signature kwenye huu uchafu.

Let me rap a bit, Its 187 how Lema is killing these hoes.

Huyu mbona GAMBA? unafikiri mtu mwneye AKILI KUBWA angekubali kusign hiyo? Huyu ni AKILI NDOGO.
Ushahidi ni huu hapa.
kuwa huyu alikuwa mgombea wa NAFASI YA BARAZA KUU NA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA. Mwaka 2012.
Umoja wa Wazazi Tanzania CCM: CHAGUZI ZA CHAMA NA JUMUIYA
attachment.php


matage.jpg
 
Duh!kiukweli kusaini hiyo hati ni wazi kuna shinikizo la mtu na si maamuzi binafsi ya mtu mwenye akili timamu.MANENO ALIYOSEMA LEMA NI DHAIFU MNO.
 
Duh!kiukweli kusaini hiyo hati ni wazi kuna shinikizo la mtu na si maamuzi binafsi ya mtu mwenye akili timamu.MANENO ALIYOSEMA LEMA NI DHAIFU MNO.
 
Mkuu KIBANGA Ampiga Mkoloni
Kama hiyo document uliyoweka ni sahihi kwa maana zinazungumzia mtu mmoja sawa na yule signatory wa attached document ya Mkuu Crashwise sasa naamini kama taifa tumekwama, the system has paralysed.

Mtumishi wa AG office kada? Sawa kuna conditions za watumishi wa serikali kujiunga in direct politics lakini sikutegemea kuliona hili katika taasisi nyeti kama hii. Basi inamaana tuna makada mahakimu, majaji, mapolisi, wanajeshi na hata maafisa uchunguzi huko TAKUKURU.

Until proven otherwise, kwa sasa thanks Mkuu Dingswayo kwa kuniboreshea my signature.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Mzee rula you must be stupid and full of worms in ur head.use ur head nt ur balls when thinkin.
 
Kwa shitaka hili la hivi, naona kama kesi hii itaisha kwenye hatua za mwanzo tu!
 
Naona Lumumba hapa Leo wameamua Kuingia kama wageni kwenye Huu Uzi

There are currently 1166 users browsing this thread. (29 members and 1137 guests)
Nadhani hii record....
 
Hiyo ni hati ya mashtaka au ni maneno ya kijembe vijiweni? Kweli kanda ya Arusha DPP mmeandaa haya mashtaka au ni kuchekesha watanzania wakubwa zangu? Why wasting taxpayers money? Nimeshangaa sana. Yaani kesi ya ajabu sana hii. Mbona maneno ya kawaida hayo? Yale maneno aliyosema mkuu wa mkoa ndiyo yaliyoamsha hasira za wanafunzi na si ya Lema.

Mkuu nakubaliana na wewe kabisa. Huu ni upuuzi wa kiasiasa na wa CCM ambao haupaswi kukubalika kabisa katika nyanja za kisheria. Mahakama zinapaswa kuanza kuwaonyesha CCM kwamba haziko tayari kutumiwa kama mgongo wa kuwabebea CCM pale ambapo zinashughulika na kesi za namna hii.
 
Hati yenyewe ni upuzi mtupu, sijui aliyeandaa hajui sheria au anajifurahisha tu kwa wakubwa zake.
 
Back
Top Bottom