Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

Haki itapatikana tu!

Magessa-Mulongo.jpg

huyu hapa dreva Mulongo aka raisi wa Arusha
 
Kwa hiyo kuvamiwa nyumbani kwake usiku wa manane na zaidi wa maaskari 25 ambao walipanda ukuta na kuingia ndani wakiwa na mabomu ya machozi na silaha nzito.. ilikuwa kwa ajili ya kosa hili ambalo lipo kwenye sheet hii..? WABHEJASANA umeona hii lakini..? Maana wewe ulifungua uzi wa kumsema Lema ati anatafuta umaarufu wa kisiasa.. Hapo kweli Lema ndo anaetafuta au mnamlazimishia wenyewe..????
Ni aibu kubwa kwa magamba...
 
Sitanii ndiyo ukweli wenyewe, ndiyo maana leo watu wa Arusha walikuwa tayari kwa lolote maana serikali wanafanya uhuni wa hali ya juu, huwezi amini makosa ndiyo hayo mpaka polisi wakaenda kuruka ukuta na mbwa zaidi ya 20, magari ya polisi 5, pikipiki....

Polisi wa Tanzania ni genge lingine la VIBAKA!!
 
hiyo ndio kesi aliyosema kwenye meseji yake ya kumbampikia Mh Lema? kweli tunaacha akili ndogo, kuongoza akili kubwa. CCM mnatupeleka wapi na serikali yenu?
 
Ni nini kimewashinda kuandika hiyo kesi yote kwa kiswahili? Hapa sasa ndio nimeamini Tundu Lisu ni kiboko baada ya kuzizarau kesi zote ziandikwe na kusomwa kwa kiswahili! Below is for you Molongo!

24182.gif
 
Crash nimecheka mpaka mbavu zinaniuma, kweli Polisi wameamua kumuadhiri Mulongo hakuna namna kumuambia wewe ni mjinga kamanda wa mkoa haiwezekani mashitaka yawe hivyo haiwezekani
 
Ni upuuz, kwanza kosa hapo liko wap? na kuomba mic alitaka kushusha mistar au mwenzenu (magamba) ni msanii?
 
S. 35 penal code

When in this Code no punishment is specially provided for General

any misdemeanor, it shall be punishable with imprisonment for a
term not exceeding two years or with a fine or with both

390. Any person who solicits or incites another to commit an offence
is guilty of a misdemeanour notwithstanding that the solicitation or
incitement has no effect.

Linaundiwa zengwe 2015, akikutwa na hatia hawezi kugombea
 
kaazi kweli kweli, kumbe jamaa alikua muonja ndondo

sasa quality za leadership kajifunzia jikoni?
 
Duh hayo mabango sio mchezo. Mzee TUPA TUPA emb mlete Mlongo huku JF ajionee ujumbe ulivyo.
 
Je, mtu anaweza kutenda kosa bila kuvunja sheria yoyote? Maana sioni sheria iliyovunjwa hapa, mfano, section x of the Penal Code (Cap 16) nk.
 
Kwa hiyo kuvamiwa nyumbani kwake usiku wa manane na zaidi wa maaskari 25 ambao walipanda ukuta na kuingia ndani wakiwa na mabomu ya machozi na silaha nzito.. ilikuwa kwa ajili ya kosa hili ambalo lipo kwenye sheet hii..? WABHEJASANA umeona hii lakini..? Maana wewe ulifungua uzi wa kumsema Lema ati anatafuta umaarufu wa kisiasa.. Hapo kweli Lema ndo anaetafuta au mnamlazimishia wenyewe..????

Huyo jamaa WABHEJASANA na Watu wote waliokuwa wanamshabikia huyo RC MCHOVU MULONGO wana akili kama P..I..M..B!! So don't be suprissed with their remarks!! They are just ------!!
 
S. 35 penal code

When in this Code no punishment is specially provided for General

any misdemeanor, it shall be punishable with imprisonment for a
term not exceeding two years or with a fine or with both

390. Any person who solicits or incites another to commit an offence
is guilty of a misdemeanour notwithstanding that the solicitation or
incitement has no effect.

Linaundiwa zengwe 2015, akikutwa na hatia hawezi kugombea
 
When COMMON SENSE became UNCOMMON ....... Hata kama Lema aliyasema maneno hayo inaingia akilini kweli kuwa yanaweza kuleta machafuko?
 
OMG! huyu mtu mkipeleka ukwen kwang (TARIME) hafikishi wiki mkewe ni mjane,huyu gamba vip huyu?
 
Back
Top Bottom