View attachment 91934
Hili ndiyo shitaka analoshitakiwa nalo mbunge wa Arusha mjini Mhe Godbless Lema
watu ni wajinga kweli, mnaacha kazi zenu mnaenda kurundikana kwa ajili ya mfanya fujo
Mungu alijisahau akakupa kichwa cha binadamu badala ya kichwa cha MBUZI KATOLIKI!!
S. 35 penal code
When in this Code no punishment is specially provided for General
any misdemeanor, it shall be punishable with imprisonment for a
term not exceeding two years or with a fine or with both
390. Any person who solicits or incites another to commit an offence
is guilty of a misdemeanour notwithstanding that the solicitation or
incitement has no effect.
Linaundiwa zengwe 2015, akikutwa na hatia hawezi kugombea
General
punishment for
offences where
penalty not
prescribed
35. When in this Code no punishment is expressly provided for
any offence, it shall be punishable with imprisonment for a term not
exceeding two years or with a fine or with both.
CHAPTER XLVI
SOLICITATION AND INCITEMENT
Soliciting or
inciting the
commission of
an offence Ord.
No. 47 of 1954 s.
2
390. Any person who solicits or incites another to commit an
offence, commits an offence notwithstanding that the solicitation or
incitement has no effect.
Katika mikoa ambayo nimetokea kudharau wakazi wake wa kwanza ni huo ARUSHA.
Wakazi wa Arusha hasa vijana ni watukutu wa kutupwa, na kikubwa ni matumizi ya MIHADARATI yaliyo kithiri.
Hamuwezi kuandaa mabango yenye maandishi ya kipuuzi na kiwehu kama hayo.
Walishindwa kuandaa mabango yenye maneno ya kistaarabu kama vile;
"Mahakama ni mahali pa kutoa haki, Lema atapata haki yake hapo."
"Tunaomba mbunge wetu Lema atendewe haki na mahakama."
Haya yote ni baadhi tu ya "slogan" za kistaarabu ambazo zingepaswa kutumika.
Katika mikoa ambayo nimetokea kudharau wakazi wake wa kwanza ni huo ARUSHA.
Wakazi wa Arusha hasa vijana ni watukutu wa kutupwa, na kikubwa ni matumizi ya MIHADARATI yaliyo kithiri.
Hamuwezi kuandaa mabango yenye maandishi ya kipuuzi na kiwehu kama hayo.
MBWAI INAZAA MBWAI!! Kwani usilidharau kwanza jeshi la polisi na serikali kwa kujidhalilisha kiasi hicho!! IGP MWEMA anajisifiaga eti ni mtu wa intelijinsia lakini hapa wameprove ni jinsi gani walivyo wachovu!! Wanaenda kum-ambush mbunge usiku wa manane kwa makosa yasiyoeleweka hata wanakijiji huku SANGAMWARUGESHA wanalishangaa jeshi la polisi kwa UPUMBAVU wake!! Halafu we unakuja utumbo wako eti wangekwenda na mabango yenye SLOGAN za kistaarabu!! I think you're not well in your head! Beba wewe hayo mabango yenye slogan nzuri!!
- Dhambi mbaya kuliko zote duniani ni uoga
- Nitawaongoza kwenda kwa mkuu wa mkoa kudai haki zenu
- Dhambi mbaya kuliko zote duniani ni uoga
- Nitawaongoza kwenda kwa mkuu wa mkoa kudai haki zenu
View attachment 91934
Hili ndiyo shitaka analoshitakiwa nalo mbunge wa Arusha mjini Mhe Godbless Lema
Mkuu leo nilikua huku lakini hakuna kipindi ambacho lema kaaibika kama hiki, mahakamani kweupee, maandamano hakuna, wala wengine hawajui kinachoendelea, aibu, lakini hapa JF, maneno mengiii, aibu kwa Lema kashachokwa mkuu, JF ARUSHA aibu kwa uongo
Hii charge sheet ilipaswa kukataliwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama wakati anakabidhiwa file
angekuwa hakimu mkazi makini wala asingeingiza ktk rekodi za mahakama wala kulipa file No.
ni ujinga mtu,hati ya mashtaka iko defective wala haina ahadhi ya kuitwa charge sheet.
hata alieiandaa nina mshaka kama alifaulu vema Criminal Procedure akisoma sheria.
particulars za offence ni kituko kwa kweli wala hakuna atakaeweza kuthibitisha pas na shaka
Hii charge sheet itakuwa dismissed muda sio mrefu.