Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

Hati ya mashitaka ya Mhe. Lema baada ya mengine kutupiliwa.

Ainu kwa Jamhuri Na Polisi!

Haya ndiyo mashitaka ya uchochezi! inasikitisha Kama hawa ndio viongozi wetu, tuna safari ndefu sana
 
Wameishiwa hoja hawa jamaa,ama police wamefanya makusudi kuandaa hati dhaifu ili kumkomoa mkuu wa mkoa
 
Tuache kuwashambulia waandaaji wa hati ya mashtaka kwa sababu yawezekana kabisa ni wapiga kura wa Lema na wapenzi wa chadema, wamefanya hivyo kumridhisha bwana mkubwa ingawa wanajua mwisho wa siku atakayeaibika ni bwana mkubwa.

Big up waandaji wa mashtaka.
 
Hivi huyo mulongo ana Cv gani?na kama anayo ali perfom vizuri kweli? Mbona ni kama analeta hasira za -ki-msomaMsoma ?
 
matagane kula kichwa kaka, nadhani utafanya kazi yako vyema bila kuhofia
 
Ndo tabu ya kuteua teua majiinga kama ----- nazi mulongo yaana badala ya kutafutia ufumbuzi swala la wanafunzi amesababisha matatizo mengine km mlundikano wa kesi mahakamani, pia upotevu wa rasilimali km muda na fedha kwa kesi ya kipumbavu acheni ujinga badala ya kutafuta aliyeua mwanafunzi na kumpeleka mahakamani na kuhimarisha ulinzi kwa wanafunzi ni lini mtabadilika jaman? TUMECHOKAAAAAAA
 
Mkuu leo nilikua huku lakini hakuna kipindi ambacho lema kaaibika kama hiki, mahakamani kweupee, maandamano hakuna, wala wengine hawajui kinachoendelea, aibu, lakini hapa JF, maneno mengiii, aibu kwa Lema kashachokwa mkuu, JF ARUSHA aibu kwa uongo
Naona unajifariji,vp umeangalia taarifa ya habari ITV hahahaaaaaa ccm Arusha hamna chenu
 
Hiyo ni hati ya mashtaka au ni maneno ya kijembe vijiweni? Kweli kanda ya Arusha DPP mmeandaa haya mashtaka au ni kuchekesha watanzania wakubwa zangu? Why wasting taxpayers money? Nimeshangaa sana. Yaani kesi ya ajabu sana hii. Mbona maneno ya kawaida hayo? Yale maneno aliyosema mkuu wa mkoa ndiyo yaliyoamsha hasira za wanafunzi na si ya Lema.

Nakuunga mikono miwili na vidole vyake!
 
Mkuu leo nilikua huku lakini hakuna kipindi ambacho lema kaaibika kama hiki, mahakamani kweupee, maandamano hakuna, wala wengine hawajui kinachoendelea, aibu, lakini hapa JF, maneno mengiii, aibu kwa Lema kashachokwa mkuu, JF ARUSHA aibu kwa uongo

Unajiabisha mwenyewe. Na huu ni ujumbe tosha jinsi umati wa watu ktk matukio/mikutano ya cdm unavyo watisha. Lakini zaidi mnavyopindua ukweli kuwa uongo. Nisikulamuu sana maana hii nitabia yenu miaka nenda miaka rudi-uongo kupitia vyombo vya habari-ila technologia ya mawasiliano imewatoa ushamba. Uliona taarifa ya ITV saa mbili?
 
Katika mikoa ambayo nimetokea kudharau wakazi wake wa kwanza ni huo ARUSHA.

Wakazi wa Arusha hasa vijana ni watukutu wa kutupwa, na kikubwa ni matumizi ya MIHADARATI yaliyo kithiri.

Hamuwezi kuandaa mabango yenye maandishi ya kipuuzi na kiwehu kama hayo.

Walishindwa kuandaa mabango yenye maneno ya kistaarabu kama vile;

"Mahakama ni mahali pa kutoa haki, Lema atapata haki yake hapo."

"Tunaomba mbunge wetu Lema atendewe haki na mahakama."

Haya yote ni baadhi tu ya "slogan" za kistaarabu ambazo zingepaswa kutumika.
We sir Elton John unatafuta bwana.,Hiyo miadarat ulileta wewe tumbaf
 
Nimekumbuka visa vya ALFU LELA ULELA. ​Kweli Simba akikosa nyama ......
 
Teh teh teh sasa hii nayo ni kesi jamani Lol!!!Yaani hata mtoto wa darasa la pili au la kwanza hawezi kuipeleka kesi kama hii Mahakamani,Hivi hii nchi kweli ina viongozi sasa Napata kuelewa kwa 1milion% maneno ya Dr Wilbroada Peter Slaa alivyosema nchi haitwaweza kutawalika sasa kwa kesi kama hii kweli na watawala wapo lakini wameshindwa kuachana nayo na leo wameipeleka Mahakamani kama si matumizi mabaya ya madaraka ni nini sasa jamani kama kuna watu ambao ni wagumu wa kuelewa kwa Dunia hii utawapata Tanzania tu na si kwingineko hivi wale wanaosapoti Serikali ya CCm inayoongozwa na Kikwete akili zao zikoje?????Maake kweli hapa sio lazima kwenda Chuo kikuu ndio uelewe mambo yalivyo ya kienyeji kwa Tanzania Lol!!aibu ya Serikali ya Maccm na Mulongo Magese
 
Ha ha ha ha. Nilipenda Bango la House grl/boy wa JKT
 
Acheni kudanganya umma nyie kwa kuchukua kamstari kamoja na kukafanya mtaji. Tatizo hapa si neno kwa mkuu wa mkoa bali kuwapandisha hasira wanafunzi na yaliyofuata yanaeleweka. Kiutaratibu Lema hakufuata utaratibu pale chuoni hata muweke uchama mbele bado ana kosa tuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! cha msingi ni lile nililosema mwababe hawa wote hawatakiwi wake pembeni waje wengine maana hatuoni kinachoendelea Arusha zaidi ya mikwaruzano ya hapa na pale na bila sababu za msingi. Huyu bwana anahangaika na kesi hapa na pale muda wa kazi unakuwa wapi? Kwenye msiba unataka aende amevaa gauni ndiyo uone ana majonzi au, eti mbona lema aliongea bila kipaza sauti? mtu anauliza swali hilo huku akimtusi Mulongo kuwa hafikirii bila kujiuliza kama yeye anafikiria kama kila mtu anasauti yake na uwezo wake wa kupaza sauti kama kila mmoja anaweza kuongea kwa sauti kwanini hivyo vipasa sauti viliwekwa? Eti alionesha uso wa nyodo, hahahaha unajua kama humpendi mtu hata akikusalimia utasema mnafiki huyu.

Jamani Tanzania kwanza haya mavyama ya siasa hayana maana yoyote.

Wewe ni mpuuzi kama Mulongo .Yaani kuonewa watanzania na CCM wakishikwa pabaya ndiyo unasema mavyama .Serukamba you maana akili zako kama zake.Uonevu uachwe na CCM na better Lema afungue kesi ya madai kwa Mkuu wa Mkoa na Polisi .
 
kumbe ndo mambo ya sheria yalivyo? aya wataalam wa iyo fan kaz kwenu
 
Hivi ni kwanini yule jamaa wa kigoma mjini ashtakiwi au hajashitakiwa kwa kusema matusi dhidi ya wabunge wa cdm? Hivi ilenayo siyo uchochezi au provokation, dhidi ya watu wengine, tena ya hali ya juu kabisa compared na hii ya Lema??

Itabidi tutunge sheria upya!!
 
Back
Top Bottom