Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

hiyo siyo utani Tuko, Ni kweli na inaponya kabisa I'm Seriosly, kama kuna mtu anatumia tigo muwekee hiyo uone kama hakupona kabisaaaaaaaaaaaa!! na wala hatorudia tena.

Hahahahaha... Lisa duh! dawa kama nguvu za giza..lol...ila hapo tiba nadhani ni mda wa kuuguza jeraha na sio wadudu kutoka au!??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sasa hii tuiite nini?

Jamani watu mbona mnapoteza muda wenu kujadili "a fabricated story"? Yaani jamaa sidhani kama hata anapokuwa faragha na mke wake angependa house girl awe anasikilizia, sembuse ya huu ushetani? No no no no no no.
 
Hahahahaha... Lisa duh! dawa kama nguvu za giza..lol...ila hapo tiba nadhani ni mda wa kuuguza jeraha na sio wadudu kutoka au!??

Sikiliza Mentor, si nguvu za giza ila ni kweli kabisa, niliyekuwa namfahamu mm , kuwa alikuwa shoga , kapona na kaoa kwa sasa, ni mwanaume kamili, ndipo nilipomuuliza dawa akaniambia, na kama una ndugu yako unaka aache wewe mfanyie uone. Pia nasikia lazima wadudu hao watoke n a watatoka kwa ajili ya ule mvuke, na pia mgonjwa atakaa muda kwa kuuguza jeraha, mpk linapona naye keshaacha mchezo huo.

KUFA HAFI ILA CHAMOTO NDICHO ATAKIONA.
 
hahahha kwanza huyo mke nae ----- kweli kweli...anakwambia wee jirani wake ili iweje? hafai kabisa

Mi naona kama huyu mleta topic muongo, kwasababu kama ni jirani yake na kamwambia yote hayo inamaana wana ukaribu mnoo na kama wana ukaribu, huyu msichana haiwezi kuileta jamiiforums, kwa maana atamuaibisha mwenzake na mme wake, paka umwambie mtu siri nzito hiyo ina maana unamuamini kufa kupona, conclusion hii topic ya uongo huyu kaiweka hapa basii tuu kupata cha kuongea, na kama kweli why ulete topic nzito hii hapaa....
 
Huyo jamaa ni homosexual ila bahati mbaya hakumwambia mkewe tangu mapema na inaonekana ni mchezo ambao wamekuwa wanaufanya kitambo tu (watoto wa mjini wanasema ana bustiwa kwanza ndio anachaji) hii ni ngumu sana kushauri maana jamaa anatakiwa kupewa msaada wa kitabibu tena zaidi wa akili yake na who knows how long it will take. The wife kama yuko tayari kupitia yote hayo ni jambo jema litakuwa.
 
Leviticus 18:22 says, "Thou shalt not lie with mankind, as with womankind: it is abomination." Then Leviticus 20:13 says, "If a man also lie with mankind, as he lieth with a woman, both of them have committed an abomination: they shall surely be put to death; their blood shall be upon them."
 
hiyo siyo utani Tuko, Ni kweli na inaponya kabisa I'm Seriosly, kama kuna mtu anatumia tigo muwekee hiyo uone kama hakupona kabisaaaaaaaaaaaa!! na wala hatorudia tena.

Sasa kama ingekuwa inaponya mbona haponi akiwekewa ile ndizi ya nyama? maana nayo inakuwa ya moto balaa, na ni nene kuliko hata hizo ndizi bukoba...
 
haina haja ya kuendelea na ndoa. huyo dada aanze maisha mapya, cz ndoa yao won't workout no matter how hard they try
 
Bora lawama kuliko fedheha hyo hafai kuwa mumewe tena ishakuwa mbwai afanye mpango na ahamie mbali kabisa shetwani shwaitwanimu
 
Huyo ni wakumuogopa kama ukoma, ikiwezekana watenganishe na wanae kwani hii dhambi isije wapata watoto
 
namshaur aite familia wakae chini na amuulze hyo mumewe nn kmemsib had kfanya hvyo? lakn naamin n vgum kuendelea na ndoa hasa ukizngatia c jambo la mchezo kiukwel moyo na akil kusahau jambo hlo labda azaliwe upya.
 
aje kanisani kwetu VRT huyo jamaa tumfanyie maombi.....ila cjuu kma ndoa ipo hapo....inauma.....mwanaume bwabwa
 
Huyo jamaa ni homosexual

I believe ni bisexual ndio maana naye alioa. Ukiangalia ndani sana utagundua huyu mke anamakosa zaidi kwani alikuwa na nafasi ya kumjua mtu wa jinsi hii mapema. Ni rahisi sana kumjua bisexual kuliko homosexual kama ukimchunguza vizuri. Tunapaswa kuwachunguza sana watu tunaoanzisha nao mahusiano hasa ya kifamilia.
 
mmh aisee kuna mitihani mingine maishani ni migumu jamani, mwee uzinzi si mzuri lakini kheri angemfumania na mwanamke sasa mume shoga tena, mungu wangu, kwakweli hapo ni mungu tu
umesema vizuri kuwa hapo ni mungu tu. Imeandikwa, binadamu hatamuacha mkewe isipokuwa kwa kosa la uasherati tu. Hilo tukio ni sodoma na gomora. Huyo siyo wa kuachwa tu, ni wa kupigwa mawe. Sema kasheshe ni jinsi ya kumpata mgigaji mawe. Asiwe mzinzi, shoga wala malaya. Mimi sistahili kuitoa adhabu hiyo. Nina dhambi. Jamaa kazidi.
 
Daah!
Kwa hiyo jamaa amekuwa anafundishwa kuendesha pikipiki na mwanaume mwenziwe daah!

Ushauri wangu hapo ni kuwaona wataalam wa afya na washauri nasaha maana seems huyo mdunguliwaji ana background memories zinazomuumiza hadi kufikia kujiona dhalili mbele ya jinsia aian yake. Anaweza akajidanganya kwamba anasikia raha kuparazwa na mshedede lakini ki ukweli anaikongoroa afya yake na future yake...

Hata akili zinakuwa hazina uwiano mzuri kimaamuzi. Na sasa kama amegunduliwa na mkewe basi ndo anaweza akawa mpuuzi zaidi yaani maamuzi yasiyo na hekima hata kidogo...

Daaah. Jamaa anapumuliwa mfululizo na besti wake. Hii HATARRRE
 
Hadithi hadithi ,hapo zamani za kaleeeee palikuwa na mtuuuuuu,uongo tuuu ila unachangamsha na watoto hawalali wanasikiliza mpaka moto unazima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom